Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,126
- 3,249
Kwahiyo sasahivi Newcastle akifungwa unaumia kishenzi, uongo?
Alivyomchukua Kai na kukomaa na Rice akadrop option ya Caicedo nikajua hii ndo formation anayoitakaCastr
Arteta anataka acheze na namba 8 wawili Kai na Øde
Ila anaamini Rice ndiye anaweza kuwalinda maana ana uwezo mkubwa wa interception,passing n.k
Thus why sisi wahafidhina tunaamini Kai atafunga goals nyingi sababu ana asili ya kufanya Sana movement kwenye goals , hivo atakutana Sana na nafasi
"Arteta sees Rice as possessing the athleticism and ball-winning ability needed to complement Havertz and Martin Odegaard either side of him." -
@David_OrnsteinView attachment 2688979
Ukiwa na leao automatic martinnell ataanz kugombania namba9 na kina jesusPesa bado ipo ya kuchukua chuma kingine ama tumeishia hapo, kuna yule Rafael leao daah
Leao alisain mkataba mpya msimu huu na ana release clause ya €150mPesa bado ipo ya kuchukua chuma kingine ama tumeishia hapo, kuna yule Rafael leao daah
Wachezaji wa kaliba ya Leao tutawapata kirahisi sana baada ya kuchukua ubingwa walau mara moja na kufanya vizuri kwenye UEFA.., things will be flowing easy!Leao alisain mkataba mpya msimu huu na ana release clause ya €150m
Hadi Sasa Kuna uhaba pia wa RW wakueleweka , ndio maana Kuna tetesi Arsenal wamezama Brazil kutafuta
Kuna nafasi Zina uhaba Sana kwenye ulimwengu wa football
CF, RW
Ila LW wamekuwa wengi
Ndio Maana timu nyingi zinamuona Mousa Diaby Kama RW wa maana kwasasa aliyepo sokoni
Lakin vip mambo yao yale ya financial play hayatatubana naona tushatumia ela nyingiLeao alisain mkataba mpya msimu huu na ana release clause ya €150m
Hadi Sasa Kuna uhaba pia wa RW wakueleweka , ndio maana Kuna tetesi Arsenal wamezama Brazil kutafuta
Kuna nafasi Zina uhaba Sana kwenye ulimwengu wa football
CF, RW
Ila LW wamekuwa wengi
Ndio Maana timu nyingi zinamuona Mousa Diaby Kama RW wa maana kwasasa aliyepo sokoni
Tatzo yeye ana mambo mengi sana achelewi kurudi middle kwenda kutia watu vikanzu, mara yuko winga anatia vibaiskeli mara yupo kwenye box bado ana finya, clear chance nyingi tu anapoteza ndo tatizo. Fighting spirit anayo angekaza awe mviziaji tu a conserve energy aitumie ku score angetishaAuba yule wa mwanzo mwanzo
Ila Jesus anasema mna mu underrate Sana , kakosa miezi mitatu EPL , lakini ana goli 11 za EPL means huyu jamaa angeweza kupiga goals hata 20 ,pia Kuna muda alipitia Sana ukame
Unaumia ukiwa wapi ewe nyumbu?
Arsenal tupo safe ,hata UEFA wametoa list ya timu zilizokwenye mstari mwekundu, manjesta kapigwa fainiLakin vip mambo yao yale ya financial play hayatatubana naona tushatumia ela nyingi
Ki ukweli kabisa Mc Hamisi Masingeli amechangia kwa 80% kukihuisha hichi kijiwe cha kahawa apewe tu maua yake.Thanks!! Tukutane hio August . Humu hatuwezi kuondoka sababu ni sehemu ya kufurahii na story za uongo uongo nyingi zinatupa raha hiki ni kijiwe cha epl fans wote humu , hongera mkuu kukifanya hiki kiwe kijiwe bora zaidiii ndo maana humu unaona wapo chelsea , man city, man utd , Liverpool na mimi kijana mpya wa “ THE MAGPIES”
Huwa tunakumiss ukikimbia maana ukweli usemwe tu huwa unalifurahisha na kulichangamsha jukwaa hili