Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Our starting 11 next season & their respective age

Ramsdale:- 25
White:- 25
Gabriel:- 25
Saliba:- 22
Zinchenko:- 26
Rice:-24
Ødegaard:- 24
Havertz:- 24
Saka:- 21
Martinelli:- 22
Jesus:- 26

Average age of the first team:- 24 years.

We have the youngest starting 11 in League.
 
Declan Rice juu ya Mikel Arteta:

"Nimefurahishwa sana - anavyoongea Unaona jinsi anavyofanya kazi - nilipata ufahamu wa kweli wa jinsi anavyofanya kazi kwenye filamu ya Amazon, jinsi anavyofanya kazi na wachezaji wake na sio tu kama kocha, lakini kisaikolojia jinsi anavyowajenga. ni pamoja na wachezaji, jinsi anavyoboresha viwango vyao Yeye ni sababu kubwa kwa nini nimekuja hapa."
 
Tutest mitambo kidogo kulingana na wachezaji bora tulionao natabiri 3 2 2 3...wachezaji watakaostruggle san kupata namba ni zinchenko jorginho , ,nketia,tomiyasu,tierney,kiwior ila trossard atampa mwalimu arteta maswali mengi sana kwenye attacking zone kuwa kati yake na kai au martinnell nani aanze....anyway mimi naona kikosi chetu Bora kitakuwa hivi
............................Ramsdale.......................
Timber.........saliba..........Gabriel
..................partey..............Rice...............
...............Cp.Odegaaard........harvets..........
Saka...........jesus............martinell
#COYG
 
hamis77 endelea kupiga spana nyumbu na Kenge Hadi zipotee humu

Rice ana sifa hizi mbili za ziada ambazo wengi hamjazijua bado
1. MKATILI
2. MAFIA

Mkipata muda wa kumcheki huko u-tube, usi-base kwenye ubora wake
Ila pia angalia actions zake, anapokonya mipira kikatili Sana
Anazama uvunguni kimafia Sana

#ArsenalNDOO
 
Kwa wanaouliza Declan anachezaje , kwanini Arteta amepambana kumsajili?


The Athletic wanasema

Declan Rice alikuwa juu katika takwimu nyingi ambazo Arsenal walikuwa nazo msimu huu . Mikel Arteta alikuwa na kitabu kilichojaa ripoti zake. Mhispania huyo alikuwa na shauku kubwa ya kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 na hilo lilidhihirika alipomweleza nafasi ya 6 ambayo angefanya.

Pale Arsenal Kuna System inaitwa StatDNA ilinunuliwa billion 6 za kitanzania kazi yake ni kutafuta wachezaji wanaoendana na mfumo wa mwalimu , hii System aliinunua Wenger mwishon kabla hajaondoka Arsenal ,

 
Sijui mm nikoje au na mahaba Sana na Zinchenko, yaani bila huyo huwa naona Arsenal inacheza Kama manjesta tu

Huyo jamaa huwa akifatwa na wachezaj hata watatu anauwezo wakupiga pass moja tu ikawaacha hapo hapo

Ilifika kipind nisipomuona kwa lineup sihangaiki kuangalia hiyo mechi

Jamaa ni technically Gifted ,Press resistant, wachezaj wa Newcastle walisema walikuwaa wanashangaa jinsi anavyopiga pass mbele yao
 
Pesa bado ipo ya kuchukua chuma kingine ama tumeishia hapo, kuna yule Rafael leao daah
 
Mm nimemfatilia kwenye pass , mchezaji anayepiga pass kwa usahihi nampenda Sana maana atafanya tumiliki Sana mpira

Timber, zinchenko,Rice ,saliba , Magalhaes , Øde, Hawa wote Wana piga pass kwa usahihi 90% zinafika
 
Jamaa tatizo lake kukaba, nataman abadilishe namba acheze nane
 
“They’re a top team, you can see they’re coached incredibly well. They have a lot of attacking talent, young squad.”

Declan Rice after The Arsenal beat West Ham 3-1 on Boxing Day of last year
 
If City were looking for encouragement to match Arsenal and tempt Rice they didn’t receive it, so pulled out of the race.

(@David_Ornstein )
 
Mm nimemfatilia kwenye pass , mchezaji anayepiga pass kwa usahihi nampenda Sana maana atafanya tumiliki Sana mpira

Timber, zinchenko,Rice ,saliba , Magalhaes , Øde, Hawa wote Wana piga pass kwa usahihi 90% zinafika
Ukipata muda ukimchek u-tube angalia pia action zake
Yupo smart Sana anavyofanya Mambo yake
No wonder man city alienda kujaribu bahati yake Kama angempata
City ingeua ndoo mapema sana
 
The pettiness is real and I’m here for it…

Arsenal posted the Rice announcement bang on 13:05.

1:05pm.

£105m.
 
Ukipata muda ukimchek u-tube angalia pia action zake
Yupo smart Sana anavyofanya Mambo yake
No wonder man city alienda kujaribu bahati yake Kama angempata
City ingeua ndoo mapema sana
Yote hayo nimeyaona , ila mm mlevi Sana wa wachezaj wanaopiga pass kwa usahihi , halafu Rice nimeona anacheza 8 vzr kabisa ,

Nataman kuwaona na Partey jumlisha Zinny , Øde

Jesus ashindwe yeye tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…