Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa arsenal hapo na uhalisia wa kikosi cha sasa vipi lengo ni nini haswa as arsenal fan?
FA cup sidhani kama kuna fan yeyote wa arsenal anamzuka nalo.
Mashabiki siku zote tunalenga makubwa. Hao waliopo kwenye bodi ndiyo hua wanajua kiukweli wanalenga nini
 
Declan Rice na daktari wa timu
20230715_124453.jpg
 
Rice alimuambia Jack wilshere mwaka Jana 2022 , atakuja Arsenal na anaamini Wenger atarejea Arsenal ,

Arsene Wenger aliweka msingi mkubwa Sana ndani ya Arsenal ,

Huko Wikipedia wadau walishaedit kutoka Westham mpaka Arsenal
 
Atatusaidia kwenye Kona ,maana tulikuwa na Gabriel magalhaes ,naona na Kai akianzia Kama False 9,

Tumekuwa ovyo Sana kwenye kutumia Kona na Kross , CF wetu wafupi
Kai akianza false 9 kwamba Jesus akae benchi?
 
Mara mshabiki mchanga mara amehamia city , hakuna jema kwa Arsenal

Arsenal malengo sio top 4 hata usajili unasadifu hivo

[emoji23][emoji23][emoji23] sijahamia city wapi nimetanganaza ni city fan, nimekua arsenal fan muda mrefu so kuchangia ni lazima mnivumilie tu. Nipo zangu huku Newcastle united najitafuta mdogo mdogo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sijahamia city wapi nimetanganaza ni city fan, nimekua arsenal fan muda mrefu so kuchangia ni lazima mnivumilie tu. Nipo zangu huku Newcastle united najitafuta mdogo mdogo
Oho kumbe upo Newcastle,ok

Kila la kheri , Kuna Uzi humu jf wa Newcastle fans
 
Bila uchambuzi ,analysis ,unaonekana unaropoka tu

Hata last season mlisema hivi

Hadi nilipokuja na uchambuzi ambao Kuna wengine wanahisi mm mchawi niliposema Arsenal anaenda kugombea ubingwa , Liverpool na Chelsea wata struggle, Leicester na soton watasshuka daraja

Kipindi naongea hayo Arsenal alikuwa hawekwi hata top 5, Chelsea,Spurs na manjesta waliwekwa Kama title Contender

Fanya analysis kulingana na usajili,vikossi , mbinu za walimu , style of play , sio kubahatisha

Uongo inakupunguzia siku zako za kuishi. Inakufanya mwisho wa msimu upotea kwenye uzi wako. Lete hiyo analysis yako tuone. Sehemu uliyosema aseno anaenda kugombania ubingwa na lescister na southampton watashuka daraja nimakaa hapa[emoji116]
 
Sihitaji kujibishana au kupoteza muda na wewe , ila wenzio wa Chelsea wanajua ,hata humu nilieleza Leicester na soton kuwapoteza Kasper na Forster itawagharimu

Arsenal alimaliza Ligi na points 69 but ili ugombee ubingwa unahitaji points kuanzia 80+

Nikasema Arsenal aalipoteza mechi 3 mfululizo sababu ya kikos kidogo /injury hasa ya Partey ,Tierny ,hizi ni points 12

Na Ligi inaanza tu Arsenal tulipoteza mechi 3 mfululizo sababu ya kutosajili mapema

Hizi mechi zilikuwa dhidi ya Chelsea , Brentford na mancity ,nikasema hapa kama tukisolve hili tatizo la kusajili mapema Basi tungepata points 5-6

12+6= 18

69+18= 87

Nikasema tukisolve hayo matatizo mawili kusajili mapema na kuongeza depth Basi tunagombea ubingwa na tulisolve hayo matatizo makuu mawili

Liverpool nilimtoa kabisa maana kikos chake kilijaa wazee ambao Midfield tu ilikuwa na jumla ya umri wa miaka 100+

Chelsea sikuwa surprised nakilichomkuta ,usajili wa ovyo ,kurundika wachezaj wa namba 1 eneo moja ,

Wamiliki kuingilia kazi zisizowahusu

Manjesta ndio alikuwa haeleweki kabisa ila yeye alitumia ujinga wa Liverpool na Chelsea akapenya ila hata wao wanajua timu yao inahitaji overhaul kubwa sana
 
Unakumbuka ule msimu Lescister anachukua ndoo. Mlikuwa na ubora gani na chelsea alikuwa na hali gani plus liverpool, Man u na man city? Do u remember?
 
Unakumbuka ule msimu Lescister anachukua ndoo. Mlikuwa na ubora gani na chelsea alikuwa na hali gani plus liverpool, Man u na man city? Do u remember?
Ule msimu naukumbuka vizuri , huo msimu hatukuwa na CF wa maana ,aliyetubeba Sana alikuwa Sanchez na Ozil tu, kufika January CF Giroud ameenda mechi 12 bila goli, Wenger akaomba pesa za usajili apate CF akanyimwa, akamtaka Demba Ba maana Giroud alikuwa anakosa magoli Sana ,kipindi hicho Ozil na Sanchez wapo [emoji91] Sana,

Mourinho akamwambia Wenger ,siwez kukupa Demba Ba maana una Ozil

Kipindi hicho hata bajet Arsenal ilikuwa finyu Sana maana KSE walikuwa hawaimiliki timu [emoji817],

Msimu huo tukimsajili Cech kutoka Chelsea tu dirisha kubwa

Now unaizungumzia Arsenal yenye umiliki [emoji817], yenye style of play inayoeleweka inayovutia wachezaji kuja kucheza, unaizungumzia Arsenal Sasa inayojipambanua kushindana ndani na nje ya uwanja

Nadhani umeona kwenye soko la usajili ,tumepambana na city ,Bayern ,n.k

Kama unadhani Arsenal alikuwa one season wonder Basi subiri Ligi ianze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom