Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kutoa uchambuzi kwenu ni kupoteza muda sababu kihisia mmeshajipatia kombe tayari. Ila kiuhalisia mna kikosi cha kawaida kama cha Manu tu mtu pekee atakaenisumbua ni Liver na Mwaciry
Basi acha kupiga mboyoyo tusubiri ligi ianze

Pia tarehe 23 wiki ijayo Kuna mech hapo ya. arsenal vs manjesta
 
Moja ya changamoto ambazo mwili hauwezi kukusaidia kabisa

Hii move West ham wameitumia kumuaga Decline Rice mchezaji wa Arsenal
20230715_105026.jpg
 
Alipokosea Arteta ni kumsajili Havertz tu, ile pesa bora angewekeza eneo lingine au mchezaji bora zaidi.

Kwenye defence mmeshajivisha bomu wenyewe. Arsenal defence inakosa quality. Full backs, LW & ST mnahitaji watu wa kazi.
formation_14_07_2023_ 22_23_11.png
 
Alipokosea Arteta ni kumsajili Havertz tu, ile pesa bora angewekeza eneo lingine au mchezaji bora zaidi.

Kwenye defence mmeshajivisha bomu wenyewe. Arsenal defence inakosa quality. Full backs, LW & ST mnahitaji watu wa kazi.
View attachment 2688645
Sisi tunaona amepatia kbsa kwhyo kama amekosea inatakiwa mfurahie maana tutakuwa dhaifu kama mnavyoamini ndugu zetu
 
Unaonesha kujianini kijana. Kwa unavoiona hii Arsenal ya beseni/ndoo /karai unaiona ikimaliza nafasi ya ngapi.
Hebu tuambie Rice anaenda wapi maana unasema una za ndani deal limefeli

Mashabiki wa mnajesta bhana ,ndio maana wale Graza hawawezi kuiuza ile timu
 
DiMarzio na Sky sport , huyu ndiye aliwafanya haters washangilie

Declan #Rice getting closer to ManCity: confidence to reach final agreement with Westham. @SkySport
20230715_035516.jpg
 
This is what West Ham are getting from Arsenal for Declan Rice -



£100m paid over 24 months, plus possibly £5m of add ons, which are £1m every time Arsenal qualify for the Champions League and Declan starts 60% of games, capped at 5 X £1m=£5m.
 
Back
Top Bottom