Na suti yake km ametoka kupokea kipa imara.Flano allypipi Labyrinth 84 Mkohoti hatimaye picha ya kijana msumbufu kutoka Arse8 hamis77 yapatikana. kula chuma icho
View attachment 2685823View attachment 2685824

Bayern ilikua zamani sio hii ya sasaBaada ya kukosa kukasikia miaka 8 mtawaliwa hatimae Asenyo msimu huu anaenda kukasikia haka kanyimbo katika hatua za makundi.
Siwatishi ila nawakumbusha tu huko mnaenda kukutana tena na Buyern Munich. View attachment 2685756
View attachment 2685766
Bila ya kuumia ni 20+Gabriel Jesus alifunga goals 11 EPL na alikosa miez mitatu akiwa nje
Mathematically huyu jamaa angepiga goals 15+ Kama angecheza msimu mzima
Muda mwingi alicheza na maumivu ya Goti , baada ya upasuaji yupo fit
Msimu huu namuona akitupia Goals 15 View attachment 2684689
Nyie tumewagonga 3-1 mnajitetea kitchen partey hakuwepo, ila sisi mlivyotubahatisha 3-2 tukijitetea kutokuwepo kwa Casemiro hamtaki.
Ila msimu huu tutawagonga nje ndani halafu mbaya zaidi yuleyule mbaya wenu mnaembeza kila siku Fundi Antony Matheus dos Santos ndie atakaewashona, na kama kawaida yake ushangiliaji wake baada ya kuwafunga Arsenyau hua ni hivi. View attachment 2685784
halafu hio suti yake inaonyesha kabisa ni Mc, ndio maana ana porojo nyingi sana humu.
Ila mwanangu hamis77 wewe una kipaji kikubwa sana aiseeee, yaani hii Arsenyo unavyoipamba utafikiri wale wazee wa fursa wanaohamasisha kilimo cha matikiti maji, yaani unavyowapea mchangunuo kima wa humu wanajiona tayari kabisa wameshachukua ubingwa kabla hata ligi haijaanza.
kumbe hamis ni mcHuu uchambuz wako hata kama mtu ni mwehu lzm atakuelewa mkuu.Hii asipoelewa atakuwa chizi tu , siku man city anachukua uefa nilifikiri sana hili jambo mpaka nikakumbuka 2006 final pekee ya arsenal nikaona nifanye japo ki analysis kidogo.
Tuseme au tutoe upendeleo kwa arsenal fan yeyote kuwa ameanza kushabikia arsenal pale arsene wenger alivyotua pale highbury 1996 arsenal kawa bingwa wa EPL 3 , UEFA 0 na UEFA finals 1
Man city toka 1996 kachukua EPL 7 , UEFA 1 na UEFA finals 2.
Chelsea toka 1996 kachukua EPL 5 , UEFA 2 na UEFA finals 3.
Man utd toka 1996 kachukua EPL 11 , UEFA 2 na UEFA finals 4. Hawa mabwege wanabebwa sana na hizi statsjapo nao ni washakua mandezi hawana cha maana tena.
Liverpool toka 1996 kachukua EPL 1 , UEFA 2 na UEFA finals 5.
Sifikiri kama kuna mashabiki wengi walioanza kushabikia mpira before 1996 , wengi na kwa upendeleo ni kuanzia 96 kwenda mbele kwa stats mtu ambae ameanza kuwa football fans 96 ina maana kuna uwezekano akawa alizaliwa kuanzia 1987 hivi coz miaka 9 na miaka 10 wengi ndo tumeanza kuupenda mpira and not below that age. Tukirudi dogo aliyezaliwa 2000 or 1999 ukiplus miaka 9 or 10 ivi moja kwa moja inaangukia kwa 2009 mpaka 2011 ivi ambapo timu zilizokuwa zinafanya vizuri ni man utd , chelsea na man city ndo inaanza kuwa tishio under mancini so mtu kuwa man city fan ambae amezaliwa 2000 na kwenda juu huwezi kumwita plastic fan, ameanza kushabikia city at the right time ukiangalia na age yake.
Na city fans ambao wengi ni 2000 born japo hata kuna watu wazima ni city fans mpira sio kama kabila kwamba huwezi kuhama, watu wanahama dini sembuse mpira bana . City fans wa 2000 wakianza kuhesabu makombe toka wazaliwe timu iliowaacha makombe ni man utd pekee ambalo ni epl 1 na uefa 1 tu.
KIGEZO CHA PLASTIC FAN HAKINA MAANA TENA, TIMU KONGWE HIZI ZINAPASWA KUBEBA NDOO TU HASA MAN UTD & ARSENAL MAANA ZIMEPOTEANA FOR A LONG PERIOD
Ukiwa unasikiliza huu uchambuz wa watu wa Gunners.Katika combo za midfielders yenu odegard ni masterpiece
Huyo odegard ni hatari sana kwenye penetration passes ambayo ndio key factor ku-unlock defense ya timu pinzani
Kai na odegard
Hawa watashirikiana kupiga hizo penetration passes na mikimbio kitu ambacho msimu uliopita alikua anafanya odegard peke yake, xhaka hakuwa vizuri kwenye hili eneo
Kai na odegard
Nyuma yao Kuna rice/partey kuwahakikishia usalama
Zinchenko na timber wanakuja kuungana na rice/partey ku-solid midfielders
Saka na martinel kazi yao kuu itakua kuwatoa ulimi watu
I feel sorry kwa nyumbu na chelkenge for what gonna happen very soon![]()

Acha uzushi,weka dau na Mimi niweke hapa kama likiyeyukaKuna kila dalili deal la Rice likayeyuka.
Jamaa wa West Ham walitoa masharti magumu sana kiasi naona Gunners wanaanza kusita kutoa dau.
Kuna mahali wanaona wapo wenye uwezo kama wa Rice na wanauzwa kwa nusu bei.
| @FabrizioRomano: “I said ‘Here We Go’ for Declan Rice and Jurrien Timber and I don't change my position. I saw some rumors again today, but guys, I'm told that it is just a matter of an announcement. This remains very clear. Arsenal have everything ready for those two deals. So let's wait and see when Arsenal will unveil their new signings.” [via YouTube] #afc
️ FC Nurnberg v Arsenal
Max-Morlock Stadion
18:00 GMT kick-off
Friendly Match
Uzushi ,uongo unawasaidia Nini ?Kuna kila dalili deal la Rice likayeyuka.
Jamaa wa West Ham walitoa masharti magumu sana kiasi naona Gunners wanaanza kusita kutoa dau.
Kuna mahali wanaona wapo wenye uwezo kama wa Rice na wanauzwa kwa nusu bei.
Uzushi ,uongo unawasaidia Nini ?Kuna kila dalili deal la Rice likayeyuka.
Jamaa wa West Ham walitoa masharti magumu sana kiasi naona Gunners wanaanza kusita kutoa dau.
Kuna mahali wanaona wapo wenye uwezo kama wa Rice na wanauzwa kwa nusu bei.

Mkuu ungewaambia ni kweli limeyeyuka wafurahi...hyu Declan Rice ana nn hasa mbona kama watu wanapiga kelele sana msela kusajiliwa na arsenal....walitegemea achague Man City au inakuwajeAcha uzushi,weka dau na Mimi niweke hapa kama likiyeyuka
Arsenal hawajatangaza sajili zote mbili za timber na rice
| @FabrizioRomano: “I said ‘Here We Go’ for Declan Rice and Jurrien Timber and I don't change my position. I saw some rumors again today, but guys, I'm told that it is just a matter of an announcement. This remains very clear. Arsenal have everything ready for those two deals. So let's wait and see when Arsenal will unveil their new signings.” [via YouTube] #afc
Walianza haji Arsenal anaenda city wakashangilia SanaMkuu ungewaambia ni kweli limeyeyuka wafurahi...hyu Declan Rice ana nn hasa mbona kama watu wanapiga kelele sana msela kusajiliwa na arsenal....walitegemea achague Man City au inakuwaje