Mkuu historia ni nini?. Hiki wanachokifanya Man City sasa hivi ndio wanatengeza historia tayari miaka 10 mbele hutaweza tena kuwaweka na Arsenal katika sentensi moja.
Hii asipoelewa atakuwa chizi tu , siku man city anachukua uefa nilifikiri sana hili jambo mpaka nikakumbuka 2006 final pekee ya arsenal nikaona nifanye japo ki analysis kidogo.
Tuseme au tutoe upendeleo kwa arsenal fan yeyote kuwa ameanza kushabikia arsenal pale arsene wenger alivyotua pale highbury 1996 arsenal kawa bingwa wa EPL 3 , UEFA 0 na UEFA finals 1
Man city toka 1996 kachukua EPL 7 , UEFA 1 na UEFA finals 2.
Chelsea toka 1996 kachukua EPL 5 , UEFA 2 na UEFA finals 3.
Man utd toka 1996 kachukua EPL 11 , UEFA 2 na UEFA finals 4. Hawa mabwege wanabebwa sana na hizi stats [emoji23][emoji23] japo nao ni washakua mandezi hawana cha maana tena.
Liverpool toka 1996 kachukua EPL 1 , UEFA 2 na UEFA finals 5.
Sifikiri kama kuna mashabiki wengi walioanza kushabikia mpira before 1996 , wengi na kwa upendeleo ni kuanzia 96 kwenda mbele kwa stats mtu ambae ameanza kuwa football fans 96 ina maana kuna uwezekano akawa alizaliwa kuanzia 1987 hivi coz miaka 9 na miaka 10 wengi ndo tumeanza kuupenda mpira and not below that age. Tukirudi dogo aliyezaliwa 2000 or 1999 ukiplus miaka 9 or 10 ivi moja kwa moja inaangukia kwa 2009 mpaka 2011 ivi ambapo timu zilizokuwa zinafanya vizuri ni man utd , chelsea na man city ndo inaanza kuwa tishio under mancini so mtu kuwa man city fan ambae amezaliwa 2000 na kwenda juu huwezi kumwita plastic fan, ameanza kushabikia city at the right time ukiangalia na age yake.
Na city fans ambao wengi ni 2000 born japo hata kuna watu wazima ni city fans mpira sio kama kabila kwamba huwezi kuhama, watu wanahama dini sembuse mpira bana . City fans wa 2000 wakianza kuhesabu makombe toka wazaliwe timu iliowaacha makombe ni man utd pekee ambalo ni epl 1 na uefa 1 tu.
KIGEZO CHA PLASTIC FAN HAKINA MAANA TENA, TIMU KONGWE HIZI ZINAPASWA KUBEBA NDOO TU HASA MAN UTD & ARSENAL MAANA ZIMEPOTEANA FOR A LONG PERIOD