Ile mechi tulicheza bila casemiro ndo maana mlicheza mtakavyo.Hii mech bila yule refa kuwabeba mngechomoa kweli?
Mechi ya pili pale Emirates tuliwaonesha gepu letu na nyie lipo vipi
Casemiro hawez kucheza mechi inayokutanisha mafundi angeaibika tuIle mechi tulicheza bila casemiro ndo maana mlicheza mtakavyo.
Mechi ya kwanza tuliyowagonga 3-1 Casemiro aliaibikaje?Casemiro hawez kucheza mechi inayokutanisha mafundi angeaibika tu
Ndio maana kwenye zile 6,7 alikuwa kama Jonas mkude tu , Casemiro kwa timu za ku possess Sana usimuhesabie kabisa
Bila yule refa kuwabeba na hapo partey hakuwepo ,Mechi ya kwanza tuliyowagonga 3-1 Casemiro aliaibikaje?
Nyie tumewagonga 3-1 mnajitetea kitchen partey hakuwepo, ila sisi mlivyotubahatisha 3-2 tukijitetea kutokuwepo kwa Casemiro hamtaki.Bila yule refa kuwabeba na hapo partey hakuwepo ,
Manjesta bado mnahitaji kocha mzuri na uwekezaji wa akili
Hiyo mech uliangalia ? Bila refa kuwabeba mngechomoka?Nyie tumewagonga 3-1 mnajitetea kitchen partey hakuwepo, ila sisi mlivyotubahatisha 3-2 tukijitetea kutokuwepo kwa Casemiro hamtaki.
Ila msimu huu tutawagonga nje ndani halafu mbaya zaidi yuleyule mbaya wenu mnaembeza kila siku Fundi Antony Matheus dos Santos ndie atakaewashona, na kama kawaida yake ushangiliaji wake baada ya kuwafunga Arsenyau hua ni hivi. View attachment 2685784
Flano allypipi Labyrinth 84 Mkohoti hatimaye picha ya kijana msumbufu kutoka Arse8 hamis77 yapatikana. kula chuma ichoArsenal’s Def issues started after Saliba & Tomi got injured.
the last 11 games are lack of squad depth and adaptation had us conceded 18 goals form are 43 goals conceded all season
We only conceded 25 goals in 27 games before the injury’sView attachment 2685804
Halafu Wala hata sio picha yanguFlano allypipi Labyrinth 84 Mkohoti hatimaye picha ya kijana msumbufu kutoka Arse8 hamis77 yapatikana. kula chuma icho
View attachment 2685823View attachment 2685824
Watu walishona mpaka vijora vya kusherehekea ubingwa wa Epl halafu sasa hivi wanajikausha kama vile sio wao.
Kuna kima humu utazisikia zinasema malengo yetu hayakua ubingwa sasa unajiuliza hivi vijora walimshonea nani? View attachment 2685937
Moyo unaenda mbio nikiona game za April zinazokuja kuanzia next week, Manchester City ana experience sana na game hizi ,kipara hajawahi kuanguka kwa marathon za namna hii anaweza akaboronga mwanzoni ila kwa game hizi za marathonje tutatoboa?Mungu atusaidie


computerarsenal kwenye game za April aliona mbali sana akaishia kubezwa. Unajikana boss hamis full migebukaHalafu Wala hata sio picha yangu
Nyumbu ni nyumbu always
Wewe unayeingea hivi ligi inaanza ulisema mnagombea ubingwaHii ilikuwa bonge moja la Aibu. Wote wakapoteana humu
Jifariji hangaika humu ila ligi inaanza beki magwayacomputerarsenal kwenye game za April aliona mbali sana akaishia kubezwa.
Hii picha ya chini ni verifaidi yuza mzee wa Arsenyo ndoo baada kupigwa comeback kwenye gemu za April. View attachment 2685944
Unajikana boss hamis full migebuka
View attachment 2685945


halafu hio suti yake inaonyesha kabisa ni Mc, ndio maana ana porojo nyingi sana humu.Hapa hatuitaji Picha za watu tunaitaji kupigana spana tu mzee.Flano allypipi Labyrinth 84 Mkohoti hatimaye picha ya kijana msumbufu kutoka Arse8 hamis77 yapatikana. kula chuma icho
View attachment 2685823View attachment 2685824