Hapa wamepgwa acha kuwaongopea, wajiandae kw matusi tu ya kumtukana.Hapa niwapongeze tena kwa mara ya pili tena. Kati ya Usajili kutoka Chelsea mtakao uona wa mafanikio ni hiyo ya Kai. Kama mtamchezesha kai namba kumi au nane mtaona yule kai wa Liverkusen Og.
Hongereni sana