Ndio mana nikasea kuwa shabiki w Ars88 ni zaid y uzwazwa.Ushabiki unawatia upofu. Arsenal hii kwa Chelsea tu haifui dafu wakati wanaendelea kuwaita wenzao plastic fans wenzao wanafukuzia record za Liver na Utd
Nafasi 10 aje kushinda 1Sijui anapata wapi nguvu zakubwata humu
Anajua kabisa ana Sterling na mudrky wanahitaji nafasi 10 wafunge Goli 1, Wana defense Dhaifu ikiongozwa na kepa ,
Cha ajabu anakuja kusumbua humu
Hamuwez mana uwezo wa kumaliza top 4 hamna, upepo hauji mara mbili mliuchezea upepo wenu msimu uliopita dio basii. Wenzenu Leceister upepo walipita nao, ikaja liva wakapita nao. Nyie sasa timu iliyolaaniwa mkaacha upepo upite, mnafikiri utakuja tena.Bora tukuite MBWA kuliko mwajuma Kama ulivyokua unataka
We kabla ya kua nafas 2 pili ulikua y ngapi?Nafasi 10 aje kushinda 1
Yule Sterling huwa anahitaj nafasi 10 , Sasa ndio tegemez hao na mudrky , pamoja na mabeki wao tegemez Fofana ,James na chillwell hawa wote hakuna anayeweza kucheza mechi 5 mfululizo asiende mwaisela kwa manesiNafasi 10 aje kushinda 1
1. ArsenalYule Sterling huwa anahitaj nafasi 10 , Sasa ndio tegemez hao na mudrky , pamoja na mabeki wao tegemez Fofana ,James na chillwell hawa wote hakuna anayeweza kucheza mechi 5 mfululizo asiende mwaisela kwa manesi
Timu Kama hii unakuta shabaki wake anapiga kelele humu
Hapo kwenye hao wajalaana hawawez kushika hiyo nafasii, niitwe mbwa nimekaa palee1. Arsenal
2. City
3. Newcastle
4.
5
6
7
8.
Spurs, Villa, Liverpool, Brighton, nyumbu,
Watajipanga watakavyojua wao
9.
10.
Crystal palace, Fulham,
11. Kenge chelshit Fc
12
.
.
.
Msimamo naona utaenda hivi, wapi unaona nimekosea?
Maji mtaita mmaWe kabla ya kua nafas 2 pili ulikua y ngapi?
Ni vzr kusema kile Ambacho ww kinakufanya ufurahi.
Kwhy mm nakuelewa unatak kujifuraisha na siwez kipangana na ilo ww endelea kuamin kile kinachofany ww upunguze machungu ya kua shabik wa Arsenal.
Arsenal hata Mungu akikupa Golden chance uishi hata miaka 200 sidhan kama kuna siku utaiona inabeba UCL.
Kwhy najua machungu yenu yanatokea wap na ninakuelewa mkuu.
Mbona hii App haifungui picha tena??Hatari tupuView attachment 2682434
Badil Kuna mtu aliweka link humuMbona hii App haifungui picha tena??
Link iko wapi?Badil Kuna mtu aliweka link humu
Hiyo app inafungua vzr
Kuna siku iliwekwa humu, watakuja wadau wataiweka
Mkuu mbona haya mambo yanaongelekambona hupendi kuona Amani imetawala
Kwa hiyo hichi ndio kikosi cha ubingwa au cha top foo?Hatari tupuView attachment 2682434
ligi kwanza ina anza lini?Hatari tupuView attachment 2682434
Hiki kikosi ata mimi kinanitisha, tutaenda kuvunjiana heshima na watu mtaaniHatari tupuView attachment 2682434