Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Hakuna Project Ngumu Na ya Kitapeli EPL Kama ya ChelseaHuu utopolo unategemea tena msimu ujao ufanye vizuri
Erik ten Hag: “In just one game we had the squad available totally - that was against Man City.Kuna staff wameondoka Arsenal. Kuna daktari halafu kuna msaidizi wa Arteta.
Ila Yule Mzee alikuwa mwamba!... Makocha wengine timu inashuka daraja kabisaBukayo Saka join Man City for ~£55m, he we go confirmed.
Martinelli joined Liverpool for £20m.
Ødegaard to PSG is a done deal.
Real Madrid have completed the signing of Saliba from Arsenal.
Arsenal completed the signing of Alex Daho from ligue 2 in France.
These are the kind of Newspaper's titles you'd see if Wenger was still in charge of ARSENAL
.And last minute Maguire loan from Manchester united
Wenger alikuwa na wakati mgumu sana
Leo tutakuwa Na Space Yetu Watu Wasoka Si Ya Kukosa.
Mimi Kama Mchambuz Nguli Kuhusu Soka nitamwaga Madini Leo Karibu San Watu Wote
View attachment 2681026
Baba Ubaya Ten Hag yy huwa analalamika majeruhi yanamuangusha kama vile wenzake hawapati majeruhi....timu zote kubwa pale zimekuwa na majeruhi na huoni makocha wakilialia...Sasa msimu huu awe na kikosi chake chte cha wafukuza upepo halafu tuone...yy apambane kubadili kikosi...ondoa deadwoods zte then leta watu....asitudanganye hapa kwamba unaweza kuchukua kombe na Fred...McTominay na Eriksen...aache huo ujinga....tangu amekuja EPL amekuwa mtu wa kulialia sanaErik ten Hag: “In just one game we had the squad available totally - that was against Man City.
Every other time it's been one player suspended, injured, or unavailable through illness. We have to deal with it well but Arsenal, all the time their squad is totally available.”
March 15
=============
July 7
Arsenal’s head of medical services Gary O’Driscoll is moving to #mufc. The highly-regarded doctor joined Arsenal in 2009 and has become a key figure at the north London club.
Credit: M Z A N Z I B A R I View attachment 2681280
Mbona siwapati?
Ten HagBaba Ubaya Ten Hag yy huwa analalamika majeruhi yanamuangusha kama vile wenzake hawapati majeruhi....timu zote kubwa pale zimekuwa na majeruhi na huoni makocha wakilialia...Sasa msimu huu awe na kikosi chake chte cha wafukuza upepo halafu tuone...yy apambane kubadili kikosi...ondoa deadwoods zte then leta watu....asitudanganye hapa kwamba unaweza kuchukua kombe na Fred...McTominay na Eriksen...aache huo ujinga....tangu amekuja EPL amekuwa mtu wa kulialia sana
Kumbe mafanikio ni kuingia big 4 unachekesha weweMsimu unaanza mlisema hawawez kuingia big 4 leo mnabadili maneno Tena unafiki mbaya sana
Kumbe mafanikio ni kuingia big 4 unachekesha wewe
hawa Kima lazima waone ni mafanikio kwao maana wamepiga miaka 8 mtawaliwa bila ya kunusa kwenye hio top4.
Mbona siwapati?
Space imeanz
Mtaalamu ukijaga huku unabwata kuw kuna matusi, unajifanya kama vile umetoka peponi kwenye jukwaa la Nyumbu kulehawa Kima lazima waone ni mafanikio kwao maana wamepiga miaka 8 mtawaliwa bila ya kunusa kwenye hio top4.
Hako kajamaa itakuwa ni kafupiMtaalamu ukijaga huku unabwata kuw kuna matusi, unajifanya kama vile umetoka peponi kwenye jukwaa la Nyumbu kule
Matokeo yake kule saiz ndio kuna matusi kama yote, kuna kajamaa sijui kametokea wapi kutwa kutukana wenzie as if yeye anajua kila kitu
Kajamaa kanatuna balaa Kutwa utaskia mpumbavu, Mjinga,mafalaila kutwa kutangaza kwamba jukwaa la Arsenal ndio kuna matusi
Wakati mna kadalali kenu huko kana kazi mbili tu, kutukana na udalali maana tangu mwezi wa 5 kenyewe ni habari ya kesho team inauzwa, kesho bid mpya, kesho board inakutana, Rio kavujisha kesho hivi, kesho blaaaa blaaaa
Mtaalamu ukijaga huku unabwata kuw kuna matusi, unajifanya kama vile umetoka peponi kwenye jukwaa la Nyumbu kule
Matokeo yake kule saiz ndio kuna matusi kama yote, kuna kajamaa sijui kametokea wapi kutwa kutukana wenzie as if yeye anajua kila kitu
Kajamaa kanatuna balaa Kutwa utaskia mpumbavu, Mjinga,mafalaila kutwa kutangaza kwamba jukwaa la Arsenal ndio kuna matusi
Wakati mna kadalali kenu huko kana kazi mbili tu, kutukana na udalali maana tangu mwezi wa 5 kenyewe ni habari ya kesho team inauzwa, kesho bid mpya, kesho board inakutana, Rio kavujisha kesho hivi, kesho blaaaa blaaaa
Maalimu me sina uhakika kama ni mpya maana ni kweli tuna kasumba ya kutembeleana katika majukwaa yote ila huwezi kujua kila ID, inawezekana kachange picha ndomana naona mpya"kuna kajamaa sijui kametokea wapi kutwa kutukana wenzie as if yeye anajua kila kitu"
Hapa wewe mwenyewe umekiri kua hako kajamaa ni kapya na wala hujui hata kametokea wapi.
Sasa mimi nakwambia hivi:
Ukiona kuna mpuuzi yoyote kwenye lile Jukwaa la watu walio staarabika zaidi duniani anatukana, basi tambua tu kua huyo mpuuzi atakua hana DNA ya Man Utd bali ni mzamiaji aliechoshwa na timu alilokua anashabikia akaamua kujiunganisha tu mwenyewe kwenye timu yetu pasi na kusoma hata Joining Instruction.
Mkuu ligi ikianza ndo tunakuja mithili ya nyuki!!!Hili jukwaa limekua na fujo sana.. Ligi ianze hawa wana Arsenal wapotee humu tushambulie sisi wapinzan tu