hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,346
- 26,827
Nakumbuka ulisema Kama watasajili ST wakamleta Auba Hali ikawa mbaya zaidi,Najiuliza kama Pochettino ni kocha wa kumfanya mtu awe jeuri humu na sioni ni kivipi unatakiwa kupiga kelele kwa wingi.
Alikua Spurs, alikua PSG. PSG ilitoka kwenye ligi tano bora ikarudi Messi alivyoenda. Akapoteza dressing room, uwanjani timu ikacheza individually. Ameonyeshwa mlango karudi Uingereza.
Analeta nini mezani? Man management siyo nzuri, mpira ni counter zaidi kuliko possession mimi naona ataanza slow, momentum kidogo kisha atarudi average na hapo ni kama watasajili ST. Wasiposajili itakua ni mwendelezo wa msimu uliopita.
Kikosi kimevimbiana wanakipunguza lakini wamepunguza mpaka mabeki.
Binafsi siamini eti lazima uwe na ST ndio ushinde mechi
Ndio maana Arsenal tuna balogun kafunga 20+ goals Ligue 1 , na tunamuweka sokon
I like this arrogance