Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Ndo nimeona leo comment ya huyo jamaa mpumbav.. Nimeona hata kazi kuMquote maana nimeona ni mjinga.Waarabu hawalipi mishahara mbuzi kama hio wanayolipa Kroenke's.
Mshahara wa Ronaldo peke yake huko Uarabuni inaweza fikia nusu ya mishahara ya kikosi kizima cha Arsenyo.
Pesa ya kulipa mshahara wa Mbappe timu masikini kama Arsenyo haina, labda timu iuzwe halafu pesa yote itayopatikana kwenye mauzo ndio inaweza tosha kulipa mshahara wa Mbappe.
Achaneni na kelele za Mbappe humu mnajichosha bure, nyie nendeni mkatafute mafungu ya kina Sambi Lokonga wengine ndio size yenu.
Mkuu kwny mpira kuna kupanda na kushuka na process ya kurudi kwenye peak huwa sio ya ujanjaujanja...Sasa kwa msimu wa mwaka jana wengi wetu huku hatukuamini kwmba arsenal angepelekeshana na man City mpk karibu na ligi kuisha ila wengi tuliamini top four ni achievable kutokana na kikosi tulichonacho na sisi tulikuwa tumezoea timu yetu si ya kutoa mahela mengi kupata mafanikio kutokana na financial situation tuliyonayo ila Sasa tumeanza kutoa hela na probably tutaanza kushinda vikombe tena...kwni tukizungumza uhalisia mafanikio ya Chelsea si kutokana kuwa na mmiliki anayetia pesa nyng ku invest na Sasa huko na sisi ndo tumeanza kuja...jumlisha na kocha tuliyenaye ana clear vision ya namna tunavyotaka kucheza...ndo maana nikakwambia kwetu kurudi top four ni achievement maana hatukuwepo mda...ila kwa msimu huu tukikosa kombe itakuwa ni failure...kwa hyo relax na ushuhudie tukibeba kombe plus kama kawa kuwakanda Chelkenge nje ndani kama kawaida yetu...Unajua kwann nimeleta mjadala huu?
Kwasababu unasema mko vizuri.
Mimi nikasema mna utofauti gani na Chelsea ambaye hajaachive chochote msimu huu?
Achievement inapimwa kwa vikombe manake timu bora inabeba makombea au kombe kubwa.
Chelsea haijabeba kombe kwa sababu hakuwa bora. Hata Brighton alikuwa bora kuliko chelsea si fulam pekee ake hata Newcastle.
Siwezi kukushangaa kucheza UEFA baada ya miaka kumi hiyo ndiyo achivement yako kwa msimu huu[emoji23]. Ful stop
Mkuu nyie na kikundi chenu kile cha wafukuza upepo mjiandae tena kugombea top tenMlisema Hivyo hivyo kw Havertz na Joghino, haya sasa yapo wapi?!
Uzuri wa mchezaji haupimwi kw kufunga magoli, labda kama ni central foward.
Timu imetumia £650m inashika nafasi ya 12Ivi kumbe nabishana na kijana alipotea baada ya arsenal kupoteza ubingwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikujua ngoja nistop hii mada. Wote humu mlipotea baada ya kutoa drow na liverpol alafu leo naanza kubishan na ninyi aisee
Una matumain na top 10?Arse8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowa maji, huku wanatingisha wowowoo wakisema chukua yote yako.
Timu imetumia £650m inashika nafasi ya 12
Bado unapata wapi nguvu yakubwabwaja?
Msimu huu Tena mna kikos Dhaifu bado unabwabwaja humu
Rudini kwenye timu zenu
Hiki kirusi...hata kama ni bure wasithubutu kumchukua.... Ataharibu dressing room kabisa..dogo anajiona mkubwa kuliko timu hafai hata bure...yle aende timu kama Madrid huko ndo watawezana naye...HAYA WALE WENYE HUSUDA
It is understood that Arsenal would actually be Mbappe's first preference if he were to ever go to the PL, both because he likes evolution of Mikel Arteta's team & would also enjoy the challenge of delivering the title to AFC again.
(@MiguelDelaney )
[emoji23][emoji23][emoji23] Cash Money Forever unakuaga na vimaneno vya kera sana.Arse8 ni sawa na yule mbwa wako unayedhani ni mkali sana, siku ukampeleka josho kumuogesha akakutana na mambwa ya polisi ghafla akaanza kuingiza mkia matakoni na kulala chini huku analia kwa uwoga.
Hio Uefa yenyewe wanaenda kutolewa kwenye makundi halafu wanarudi zao kwenye Futuhi.Any wey tufanye umeachievu kurudi Kucheza UEFA baada ya miaka kumi kusota nje ya UEFA siyo[emoji1666][emoji120]
Nyie mtafika wapi mkuu...au mtaenda kubeba kombe na Mason MountHio Uefa yenyewe wanaenda kutolewa kwenye makundi halafu wanarudi zao kwenye Futuhi.
Arsenyo ni ileile ya juzi, jana na leo.
Arsenal watamuuza Partey iwapo ofa ya £40-45m itakuja na si vinginevyo
Timu za Saudia zipo tayari kulipa hiyo hela ,ila Partey hataki kwenda huko , Juventus wanaomuhitaji inawabidi walipe pesa ya kushawishi otherwise Partey hatauzwa ,Kama Partey ataondoka Arsenal wanamuona Romeo Lavia na Aurelian Tchoumen Kama wabadala sahihi
Madrid wanahitaji kumsajili Mbappe lakin wanahitajika kuuza mchezaji mmoja kwa €80-90m ili wapate pesa ya kumsajili Mbappe
Tchoumen na Fede Valvede itawalazimu mmoja wao wamuuze
[emoji599]Parteys camp have told Saudi clubs that the player currently does not favor a move there. Initials talks with Juventus but Arsenal would want significant fee based on how much they signed the player for
(@jamesbenge )
HAYA WALE WENYE HUSUDA
It is understood that Arsenal would actually be Mbappe's first preference if he were to ever go to the PL, both because he likes evolution of Mikel Arteta's team & would also enjoy the challenge of delivering the title to AFC again.
(@MiguelDelaney )
Mwenzio anajifurahisha maaana haijulikan msimu ujao watagombea top 10 au kushuka daraja kabisa[emoji23][emoji23][emoji23] Cash Money Forever unakuaga na vimaneno vya kera sana.
Mzee baba Kuna watu watapandwa visukariaccording to a recent report from the Independent, should Mbappe opt to move to the Premier League, the club he prefers over all others is Mikel Arteta’s Arsenal.
Daaahhh hizi ni kufuru sasa yaani ndani ya miaka 5 iliyopita Chelsea amebeba haya makombe makubwa yote hapo chini[emoji116][emoji116][emoji116]halafu wewe unawaita middle table team?Mimi nasema nyie Ni middle table team Kama forest ,Kama unabisha weka kikos unachotarajia kuanza nacho EPL
Ili uache kelele
Wewe hata Forrest ana UCL Tena 2 lakini amerudi alipotoka , Chelkenge kwasasa wanagombea kushuka daraja ,level zao Sasa nikina forest , Luton fcDaaahhh hizi ni kufuru sasa yaani ndani ya miaka 5 iliyopita Chelsea amebeba haya makombe makubwa yote hapo chini[emoji116][emoji116][emoji116]halafu wewe unawaita middle table team?
FIFA Club World Cup 2021-2022.
UEFA Supercup 2021-2022
Champions League 2020-2021
Europa League 2018-2019
FA Cup 2017-2018
Champions League. 2016-2017
Haya tuonyeshe hio Giant team yenu Arsenyeto ina kombe gani kubwa imebeba ndani ya miaka 20 iliyopita.
[emoji23][emoji23][emoji23] United msimu huu Uefa tumekosakosa sana fainali.Nyie mtafika wapi mkuu...au mtaenda kubeba kombe na Mason Mount