Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Una misimu mingapi hujacheza UEFA?

Kumaliza ligi nafasi ya pili ndiyo Achievement yako msimu huu?

Achievement haipimwi kwa nafasi.

Lete makombe uliyopata msimu huu acha longo longo na kujificha kwenye nafasi
 
Mkuu mwaka jana una utofauti gani na chelsea? [emoji23][emoji23][emoji23]


Pamoja na ubora wako lakini ukatoka kapa bila hata kombe la embe. Niambie umeachieve nini msimu huu ulioisha?
Yaan ww ugombee kushuka daraja unajifananisha na Arsenal ambaye hata usajili unaakis anaenda kufanya Nini


Rudini timu zenu za zaman ,kwasasa mtachezea nafas za 10-15

Panga First eleven yako hapa , Mimi napanga ya Astonvilla ,maana ya Arsenal itakuwa uonevu

Tuone Kama Kuna hata dalili ya nafasi ya 10
 
Una misimu mingapi hujacheza UEFA?

Kumaliza ligi nafasi ya pili ndiyo Achievement yako msimu huu?

Achievement haipimwi kwa nafasi.

Lete makombe uliyopata msimu huu acha longo longo na kujificha kwenye nafasi
Tunazungumzia Arsenal ambayo Sasa ipo Uefa jombaa ,Chelkenge hata conference nafasi ya 7 hayupo
 
Una misimu mingapi hujacheza UEFA?

Kumaliza ligi nafasi ya pili ndiyo Achievement yako msimu huu?

Achievement haipimwi kwa nafasi.

Lete makombe uliyopata msimu huu acha longo longo na kujificha kwenye nafasi
Naomba ulete first eleven yako ambayo unaona hata nafasi ya 10 itatoboa
 
Haitakaa ikatokea. Hii imetokea kwa chelsea kwasababu ya kubadilisha uongozi.

Lakini wewe pamoja na uimara wako umepata kikombe sufuri huna tofauti na mwanafuzi aliyepata division zero
Rudini timu zenu , Kama unabisha leta kikos unachotarajia kuja nacho EPL , ,[emoji1787][emoji1787]

Mnagombea kushuka daraja Tena

Mida Kama hii mwaka Jana niliwaambia wakat mnajiweka kugombea ubingwa , nilisema hamna timu mlinishambulia

Now Kaz mnayo
 
Ww umesema achievement mm nimekujibu kurudi UEFA maana tangu 2016 kwli hatukuwepo...Sasa ww na ww nambie achievement yako ni ipi...mi naona kwa upande wako ni kumsajili Mudryk na Enzo kwa mahela mengi...hyo ndo achievement kwenu...kwa sababu kwa mwaka jana inaonekana hata Fulham alikuwa Bora kuliko nyny mkuu
 
Martinel anakula mbao bila tabu kabisa, kwa sasa huwezi nielewa ila naomba nitunze hii comment yangu kwa siku zijazo. Mudryk ana uwezo mkubwa ni vile hakupata kocha mwenye akili. Kati y wachezaji ambao chelsea hawajapgwa, basi ni Mudryk.
 
Martinel anakula mbao bila tabu kabisa, kwa sasa huwezi nielewa ila naomba nitunze hii comment yangu kwa siku zijazo. Mudryk ana uwezo mkubwa ni vile hakupata kocha mwenye akili. Kati y wachezaji ambao chelsea hawajapgwa, basi ni Mudryk.
Yle mfukuza upepo ndo umfananishe na Martineli....kuwa serious kidogo mkuu...Ligi inaanza mwezi ujao tutaona stats zao tena...
 

Unajua kwann nimeleta mjadala huu?

Kwasababu unasema mko vizuri.

Mimi nikasema mna utofauti gani na Chelsea ambaye hajaachive chochote msimu huu?

Achievement inapimwa kwa vikombe manake timu bora inabeba makombea au kombe kubwa.

Chelsea haijabeba kombe kwa sababu hakuwa bora. Hata Brighton alikuwa bora kuliko chelsea si fulam pekee ake hata Newcastle.

Siwezi kukushangaa kucheza UEFA baada ya miaka kumi hiyo ndiyo achivement yako kwa msimu huu[emoji23]. Ful stop
 
From now on Arsenal ni lazima ibebe any big [emoji471] trophy iwe EPL or champions [emoji471] league miaka zaidi ya 20 bila big [emoji471] trophies ukiachana na FA na community shield ni ujuha tumezoea kucheza sexy football [emoji460]️ ila achievements ni za oldies last season tumepoteza nafasi kwa uzembe wa baadhi ya players na maamuzi ya coach kwenye substitution (refer goal la kusawazisha la Liverpool kaja kufanya sub mwishoni wakati dalili ilishaonyesha kuna kitu kitatokea)kwa sasa hizi zinazoendelea ni porojo fans tunataka makombe makubwa (Chelsea Liverpool Manchester United wana champions league, Super cup, fifa World cups,ueropa league hata Manchester City anaenda kubeba hizo super cups why not us ambao team imeanzishwa more than 100 years hatuna hivyo vikombe)yes tunaipenda Sana Arsenal sana but makombe nayo yanahitajika EPL miaka 20 imepita but champions league trophy [emoji471] pia tunalihitaji COYG
 
Mkuu Hatutakuita mwajuma, hii michezo ya watoto wa kiume kujitangaza mabinti labda mkafanye Kule Kule ukengeni chelshit fc

1. Arsenal NDOO
2. City
3. Newcastle
4.

.

.11 kenge fc
Tatizo ushabiki Umewajaa hamuoni uhalisia, kw upande wangu liva nawaona hapo kwnye hiyo top 3 kuliko hata nyie na hao Newcastle. Hapo cjawataja chelsea mana bado hatujui uwezo wa kocha kwnye kuwaunganisha wachezaji, mana chelsea ina watu shida ilikua kocha.
Ila kila mtu ana mawazo yake, siburi tuone. Ila Arse88 top 3 msahau.
 
Mlisema Hivyo hivyo kw Havertz na Joghino, haya sasa yapo wapi?!
Uzuri wa mchezaji haupimwi kw kufunga magoli, labda kama ni central foward.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…