[emoji30][emoji30][emoji30]Daaahhh inauma sana kumuona jirani yako anajipakulia tu minyama nyama halafu sisi tunahangaika na viporo vya maharage.
Ila yote maisha tukutane August ligi ikianza ndio tutajua mbivu na mbichi.
Mimi sio mtoto au mjukuu wa nabii , mwaka jana niliwaambia Chelsea wajiandae hali itakuwa tete ,ushindi wao utakuwa 1-0,1-1 au vipigo walikuwa wananitusi Sana, Liverpool nao kule niliwaambia hivo hivo , kipindi hicho top 4 watu wanajipangia wakimuweka Chelsea na Liverpool ,huku manjesta akionekana title contender [emoji1787][emoji1787], Arsenal tukaambiwa hata top 6 hatuingii
Nilisema waziwazi Arsenal tunaenda kupigania ubingwa sikueleweka ,niliweka analysis kuwa tumemamliza ligi na points 69 ,but Kuna mech 6 tulipoteza sababu ya injury , so nikasema bila hizo injury tungekuwa kwenye race ya ubingwa , tukasolve Hilo tatizo kwa 75% ,na kweli tukawa title contender , Liverpool na Chelsea utabiri wangu ukatimia, wakati huo huo tuliambiwa pia Conte na Spurs yake watagombea ubingwa...kufika February akatupa taulo
Kuhusu manjesta mlipenya sababu ya upumbavu wa Chelsea na Liverpool.
Msimu huu Arsenal tumesolve matatizo karibu 90%
Wakushuka daraja nilimuweka Soton na Leicester hoja zangu zilikuwa kuondoka kwa Forster na Schmeichel, hakuna sehemu muhimu na siyo ya mzaha Kama eneo la GK,
Manjesta kuweni makini Sana eneo hili ,mnaweza kuhisi mmerogwa
Utabiri wangu naweka Tena, Mark my word
Top 3 ni Arsenal,Man city na Newcastle halafu ile namba 4 ya top 4 itapambaniwa na timu mbili yaani Liverpool na Manjesta, 5-7 Chelsea , astonvilla na Brighton
The Era End [emoji16]