Nina wasiwasi Arsene season hii akawa manager wa kwanza kuachishwa au kujiuzulu kazi....huo ni mwono wangu
Kweli kabisa mkuu....Waache waondoke.....Mimi ningependa kuona wanabaki RVP na T5 basi....Wengine wote wa msimu uliopita waondoke ili tuisuke timu upya.....Mi naona tu waondoke! Msimu uliopita wote Fab hakufanya chochote, kwanza alikuwa majeruhi! Mbaya zaidi alisababisha tutolewe na barca CL kwa kumpa Iniests pasi ya kisigino!Nasri was good in the first half of season, baada ya hapo akapotea kabisa! Game za preseason hajafanya cha maana!Let them go..hata kipindi akina Viera wanaondoka watu waliona ndio mwisho wa Arsenal, but babu akamaintain!
Mi naona tu waondoke! Msimu uliopita wote Fab hakufanya chochote, kwanza alikuwa majeruhi! Mbaya zaidi alisababisha tutolewe na barca CL kwa kumpa Iniests pasi ya kisigino!
Nasri was good in the first half of season, baada ya hapo akapotea kabisa! Game za preseason hajafanya cha maana!
Let them go..hata kipindi akina Viera wanaondoka watu waliona ndio mwisho wa Arsenal, but babu akamaintain!
Kweli kabisa mkuu....Waache waondoke.....Mimi ningependa kuona wanabaki RVP na T5 basi....Wengine wote wa msimu uliopita waondoke ili tuisuke timu upya.....
Kwani hao ni wachezaji wa timu gani? Wanalipwa kila wiki bonge la mshiko na Gunners chacha wasipowekwa kwenye hiyo list wawekwe kwenye list ya timu gani?
Maneno ya wakosaji.
kumbuka tunauwezo wa kukataa kumuuza cuz ana mkataba mka 2014!
Mpaka Arsenal wameamua kumuuza, ujue tayari kuna mtu wa kufill gap lake!
Hapo umeongea point mkuu... Arsenal inaendeshwa kibiashara zaidi, na Motive/aim ya biashara yote ni MAXIMIZATION OF SHAREHOLDER'S WEALTH!Acha uongo wewe Arsenal ni mtaji wa Board of Directors, Hata mkimuuza hamtasajili mchezaji wa maana zaidi ya kuendelea kutafuta wachezaji wa 50 kitu from france.
Huo mkataba unafikiria ni neno la dini aliwezi kuvunjwa au kubadilishwa? Kama Fabregas amehamua kulipa 4.5m kutoka mfukoni kwake ili deal ipite basi ujue either ameichoka Arsenal au anataka sana kushinda vikombe na mtu kama huyo kumzuia itakuwa na effect kubwa sana kwenye timu in a long run.kumbuka tunauwezo wa kukataa kumuuza cuz ana mkataba mka 2014!
Mpaka Arsenal wameamua kumuuza, ujue tayari kuna mtu wa kufill gap lake!
aka profits,wachezaji nguli ndio haoo,wanaondoka,wacha waende.Hapo umeongea point mkuu... Arsenal inaendeshwa kibiashara zaidi, na Motive/aim ya biashara yote ni MAXIMIZATION OF SHAREHOLDER'S WEALTH!
Sijaona busara ya babu kuwajumuisha Cesc na Nasri CL list wachezaji wanaoondoka.
Kweli kabisa mkuu....Waache waondoke.....Mimi ningependa kuona wanabaki RVP na T5 basi....Wengine wote wa msimu uliopita waondoke ili tuisuke timu upya.....
Kweli umefika wakati kuchukua maamuzi magumu kuwaacha waondoke kwa kuwa kumlazimisha mchezaji kubakia inaweza kupunguza moral katika Timu,wasiwasi wangu ni Arsene Wenger tranfer zake hutumia muda mwingi kwa mazungumzo,hii hali aliijua mapema lakini bado anasubiri dakika za majeruhi ndio afanye replacement,kwa nini asubiri mpaka msimu uanze ndio afanye usajili? Hakuna ubishi ukuta wa Arsenal unataka kuimarishwa anasubiri nini?..kweli Gibbs anawaweza kujaza pengo la Clichy?....lakini tutafanya nini ushabiki wa mpira ni pressure ya kujitakia!
Acha uongo wewe Arsenal ni mtaji wa Board of Directors, Hata mkimuuza hamtasajili mchezaji wa maana zaidi ya kuendelea kutafuta wachezaji wa 50 kitu from france.