I want my Club to win Trophies.......Top 4 kwa Liverpool haijawahi kuwa Mafanikio hata siku moja.Wewe subiri ucheze Europa tena
Kwa wazee wale kashindanie Europa
Uwezo wa kuingia top 4 huna Tena
Haya umeshinda ,kasajilini angalau msimu unao mpambanie walau kuingia top 4I want my Club to win Trophies.......Top 4 kwa Liverpool haijawahi kuwa Mafanikio hata siku moja.
Na kama ulikuwa hujui Liverpool ikimaliza msimu bila Trophy kwetu tunahesabu Msimu ulikuwa ni Failure haijalishi nafasi tuliyomaliza.
LOSER CLUB Hii MENTALITY Hamna kumaliza nafasi ya 2 mnaona ni Mafanikio.
Umegeuza madaMsimu Jana mlisema hata top 4 hatuingii ,Cha ajabu kushika nafasi ya 2 mnaona tumefeli
Ndio maana tunarudi Tena kugombea mataji
Ok. Labda hatujaelewanaUmegeuza mada
Nakupa Angalizo:Haya umeshinda ,kasajilini angalau msimu unao mpambanie walau kuingia top 4
Tulishakwambia Usilazimishe uhasimu, wazee wenzio wa Liverpool wametulia wanakula pensheni kwenye jukwaa lao, humu tunahitaji nashabiki wa Manyumbu tu.Arsenal imecheza Europa miaka 6 mfululizo na kombe likawashinda kuchukua.
Mmeshindwa na West ham wabebeba Europea Trophies we hata ya kuhongwa hamna.
Huyo ana hasira alisema Arsenal hatuwez kumchukua Rice hatuna helaTulishakwambia Usilazimishe uhasimu, wazee wenzio wa Liverpool wametulia wanakula pensheni kwenye jukwaa lao, humu tunahitaji nashabiki wa Manyumbu tu.
Bado Mimi nitabaki na 4-3-3 ,yenye double 8Ukiambiwa upange team na iwe na Rice na Partey utaipangaje? Nadhani me nitawaweka kama 6 wawili na Ode kwa mbele yao kama ule msimu wa flamini na coquelin walivyocheza nyuma ya Fabregas. Tukishambulia sana mmoja anahamia 8 afanye double 8 na Ode.
Nani ana shida na uhasimu na hiki kikundi chenu cha WHATSAPP.Tulishakwambia Usilazimishe uhasimu, wazee wenzio wa Liverpool wametulia wanakula pensheni kwenye jukwaa lao, humu tunahitaji nashabiki wa Manyumbu tu.
Huna akili, humu unatafuta nini sasa? ungebaki kwenye timu yako yenye Champions league.Nani ana shida na uhasimu na hiki kikundi chenu cha WHATSAPP.
Unataka uhasimu na nani Miaka 136 0 Champions League 0 Europa League.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Eti Huna Akili!!!!!!! Nimecheka sana Mkuu Dah!!! [emoji16][emoji16][emoji16]Huna akili, humu unatafuta nini sasa? ungebaki kwenye timu yako yenye Champions league.