Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Wamchukue Olise na Lavia
 
EXCLUSIVE




|| Verbal agreement between Arsenal and Ajax, for the sale of Jurriën Timber. €42m (£36m) rising to €47m (£40m) with bonuses [Via - @MikeVerweij].
 
Medicals and presentation have been scheduled for TImber at Arsenal in the coming days

The player can pack his suitcase for England now !

(@MikeVerweij Tier 1)
 
Balogun anacheza vizuri sana false nine. Hautalihisi pengo la Jesus.

Isipokua Nketiah ana finishing nzuri. Na mkikabwa ujue hakupi kitu cha ziada

Finishing nzuri ipi hio mbona sijawahi kuiona zaidi ya nafasi za wazi anazokosa. Huyu dogo aondoke tu maana yupo toka enzi za wenger na now ndo amebaki yeye tu mkongwe
 
Naona safari hii meamua kujipanga tena kuongoza Ligi msimu ujao, halafu kombe wachukue wengine.
Arsenyani bhana



#Arsenyo Kondoo
#Haaland Kiatu
#mliMancity Champions

kuhusu kombe ni rahisi sana kwa Newcastle kubeba kuliko arsenal. Fikiri mwaka huu Newcastle akapata chance kama aliyopata arsenal points 8 ahead hakuna wakumzuia.
Newcastle ina nafasi kubwa sana kuwa vizuriii na kuwa title contender this season tusubiri tuone maana tonali kashaingia st james bado barella yupo mbioni.
Newcastle mwaka huu ni kuiangalia sana
 
◉ Declan Rice to undergo Arsenal medical in the coming days.


◉ Agreement between Arsenal and Ajax over Timber's move in place since Tuesday.


◉ Opening bid for Lavia in the coming days.


◉ Cancelo no longer in Arsenal list.

#AFC
 
Arsenal ndoo...invincibles

Kwa kilichotokea last season arsenal akiongoza ligi kuanzia first match haitamshtua shabiki yeyote na arsenal fans sidhani kama mtatamba kwa kuongoza ligi maana yaliyotokea wote tunayajua !
Still city will dominate epl kwa miaka 4 inayokuja sioni timu ya kumzuia , katoka gundo kaingia kovacic na yule dogo viega wanamtaka! Hakuna solution ya halland labda KDB aumie msimu mzima kidogo Newcastle na arsenal tutawapa nafasi
 
Arsenal manager Mikel Arteta has “personally met” Ajax centre-back Jurrien Timber ahead of a potential move to the Emirates Stadium this summer,

@Teamnewsandtix has told GIVEMESPORT.

“To be honest, I'm less on top of the Timber deal, but I know Arteta has personally met the player. When Arteta wants a target, especially if there's time to do so, he tempts a player in a way I've never seen any other manager do in football. I know Arteta has done that.” He said.
 
Arsenal and Ajax have verbally agreed on a fee of £36.5million rising to £40.5m for Jurrien Timber.

(Simon Jones @MailSport)
 
️ |
Arsenal to move for Romeo Lavia after completing Jurrien Timber deal.


Gunners hierarchy have focused on getting players Mikel Arteta wants and the Southampton midfielder is high on his list.
#AFC #Transfers #Lavia

Hii Arsenal ya NDOO
Kuna watu hawataleta timu uwanjani
 
Partey asiuzwe, jamaa likiwa fiti ni jitu hatari, uchawi majeruhi tu.. anahitajika kuongeza upana wa kikosi chenye ubora.
Xhaka aende, jamaa hanyumbuliki, mchezaji mgumu kama anakula mawe.

Diaby yes, namkubali huyu jamaa.. ni kama vile nilivyokuwa namkubali douglas costa, mpaka kesho nasikitika douglas kutokicheza EPL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…