verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
Kwio na Gab Mpambano wa namba msimu ujao utakua wa moto au la baadhi ya games Kwio atapiga LB afu Timber atapiga RB maana naona itakua risk sana kuwachezesha Timber (RB) na Zinny(LB) kwenye 433 yenye inverted fullbacksKuna beki alafu kuna kisiki, my favorite View attachment 2672681
Partey hata kwenye holiday yake kaenda na Arsenal PhysiosHii ni kweli?
Hahaha! team Partey naona mnatafuta namna ya kumtetea, tuliwaambia mkampamba eti "bila Partey hakuna Arsenal", mmesahau Jorginho kachukua namba yake sababu ya Control, ikafika hatua Arteta anamchezesha inverted RB lakini najua mtu ukipenda huoni.Mwanangu partey hapo ndio kunamtoa CV
Maji wataita mma
Hapana mkuu, tumenunua hao ili tumalize juu ya NYUMBUKwahiyo arsenal wametoa pauni 100m kwa rice na 65m kwa havert vipi mategemeo ni kuchukua ubingwa au?
COMPARED
Jurriën Timber vs Josko Gvardiol (2022/23)
Arsenal really going for it
Radar : datamb.footballView attachment 2671957
Nmefurahi kuskia Partey ana baki
Partey aliweza kutuheshimisha pale dimbaniHahaha! team Partey naona mnatafuta namna ya kumtetea, tuliwaambia mkampamba eti "bila Partey hakuna Arsenal", mmesahau Jorginho kachukua namba yake sababu ya Control, ikafika hatua Arteta anamchezesha inverted RB lakini najua mtu ukipenda huoni.
Darren Bent has suggested that he would love to see Thomas Partey alongside Declan Rice and Martin Odegaard in the Arsenal midfield next season.
“I want him to be in the number eight. So Odegaard, him, and then I don’t know what’s going to happen with Partey, but if not Partey, Jorginho. That’s the three, If Partey stayed, I’d like Partey, Declan and Odegaard.”(@talkSPORT via tbr)
Lazima tuwe na partey pale Kati mzee wa kazi chafu
Odegard
Rice
Kai
Partey
Saka
Martinel
Trossad
Rowe
Jesus
Nketiah
Zin
Saliba
Gabriel
White
Hii ndio ARSENAL ya NDOO sasa
1.ArsenalHopefully teams zitakuwa zimemzoea yule jini Haaland na kuweza kumdhibiti zaidi.
Nategemea msimu huu Nyumbu, Chelkenge, Nyukesto na Livakuku kuimarika mara dufu na kuleta usumbufu mkali
1.Arsenal
2. City
3. Newcastle
4. ?
Liverpool, nyumbu, Spurs, Brighton,
Chelkenge ata kwa bahati mbaya haingii top4
Chelkenge bado wanajitafuta, alafu mbaya zaidi huwa haipewi mbeleko Kama nyumbuMimi Chelkenge nawapa nafasi kubwa sana
Sio Majeruhi tu, kuna technical limitation, hanaga Consistence na hiki kitu tumeongea sana. kuna mwana mmoja niliwahi kumsoma anasema Partey is a momentum player, nakubaliana naye kwa 100%.Partey aliweza kutuheshimisha pale dimbani
Changamoto kubwa ni majerui na kumaliza ligi ameshindwa
Maybe hii inatokana na kuwa yeye tu kila game, akipumzika Hadi aumie
Timu Kama Newcastle, Spurs, Liverpool,
Inabidi uwe na mtu wa kuingia uvungua, nginja nginja kwa Sana
All in all tunahitaji kuiona arsenal ikiwasha moto,
Sawa lakini still ni among building block ya mid yetuSio Majeruhi tu, kuna technical limitation, hanaga Consistence na hiki kitu tumeongea sana. kuna mwana mmoja niliwahi kumsoma anasema Partey is a momentum player, nakubaliana naye kwa 100%.
Lavia na Timber.Darren Bent has suggested that he would love to see Thomas Partey alongside Declan Rice and Martin Odegaard in the Arsenal midfield next season.
“I want him to be in the number eight. So Odegaard, him, and then I don’t know what’s going to happen with Partey, but if not Partey, Jorginho. That’s the three, If Partey stayed, I’d like Partey, Declan and Odegaard.”(@talkSPORT via tbr)
Lazima tuwe na partey pale Kati mzee wa kazi chafu
Odegard
Rice
Kai
Partey
Saka
Martinel
Trossad
Rowe
Jesus
Nketiah
Zin
Saliba
Gabriel
White
Hii ndio ARSENAL ya NDOO sasa
Naona safari hii meamua kujipanga tena kuongoza Ligi msimu ujao, halafu kombe wachukue wengine.1. Kai
2. Rice
3. Timber
4.
5.
Kutoka vyanzo vyangu vya ndani kabisa
#Arsenal NDOO msimu huu itaanza ile game ya ufunguzi hadi NDOO
Anunuliwe Lavia na winger wa kulia mmoja preferably Diaby yule wa Leverkusen...Partey auzwe sababu ni mtu ambaye hana uhakika wa kucheza gemu nyng kwa msimu kutokana na history ya majeruhi...xhaka abaki kwa msimu mmoja zaidi....then msimu unaokuja...chances za kushinda ubingwa ni kubwa maana squad depth itakuwa nzuri sanaSawa lakini still ni among building block ya mid yetu
kama tukiwa na depth naamini hata tumika sana so atakuwa fit muda mrefu
auzwe joginhoAnunuliwe Lavia na winger wa kulia mmoja preferably Diaby yule wa Leverkusen...Partey auzwe sababu ni mtu ambaye hana uhakika wa kucheza gemu nyng kwa msimu kutokana na history ya majeruhi...xhaka abaki kwa msimu mmoja zaidi....then msimu unaokuja...chances za kushinda ubingwa ni kubwa maana squad depth itakuwa nzuri sana
Mambo vipi mkuuNaona safari hii meamua kujipanga tena kuongoza Ligi msimu ujao, halafu kombe wachukue wengine.
Arsenyani bhana
#Arsenyo Kondoo
#Haaland Kiatu
#mliMancity Champions
Arteta hawezi muuza Jorginho mkuuauzwe joginho