Hata Smith Rowe wanamsahau , Trossard alicheza mech za mwisho vibaya , kumbe alikuwa majeruhi, kafanyiwa surgery ndogoNauliza tena
Kwanini tukiongelea wachezaji wetu wa msimu ujao hua tunamsahau mno Trossard? Mfano tuliamini tunahitaji ST, viungo wawili na backup ya Saka. Trossard hashindwi kua ST na hashindwi kukaa RW
Moto upo kwenye kiungo
Ni maoni tu. Cha muhimu Arsenal wamepata mtu wao.Watakuwa na mawazo ya kijinga Tu ata kama ni watu wa mpira,mfano mtu kama Garry Neville pamoja na kuwa mtu wa mpira unamuonaga ana Akili timamu?
Westham walitaka £100 tangu mwanzo kabisa na hilo kila club iliyotaka huduma ya Rice walilijua
Sasa kama unajua Westham wanataka £100 umuagize pep Abid ili iweje? itabadirisha nini akibid? ilhali ukifika hela inayotakiwa mchezaji anakuwa wako?
Pamoja mkuuNi maoni tu. Cha muhimu Arsenal wamepata mtu wao.
Dahhh simu yangu haifungi picha za JF inaniuma sana kukosa fursa kama hiziHaka katimu kanajitengenezea laana kenyewe baadae wakose ubingwa wamtukane kocha.
View attachment 2672208
Arsenal hao kwenye Twitter profile picture wameweka bendera ya LGBTQ ku-support Pride month halafu wame-post tweet ya "Eid Al-Adha Mubarak".Dahhh simu yangu haifungi picha za JF inaniuma sana kukosa fursa kama hizi
Anyway unaongelea katimi gani mkuu
Duhhh hizi team za England banaArsenal hao kwenye Twitter profile picture wameweka bendera ya LGBTQ ku-support Pride month halafu wame-post tweet ya "Eid Al-Adha Mubarak".
Me mwenyewe nawashangaa wanaomchukulia poa. Alipokuwa Brighton alikuwa anafunga magoli mengi kwenye tight spaces. Hii system ya center forward kuungana na viungo, sometimes inawakoseshaga sana magoliNauliza tena
Kwanini tukiongelea wachezaji wetu wa msimu ujao hua tunamsahau mno Trossard? Mfano tuliamini tunahitaji ST, viungo wawili na backup ya Saka. Trossard hashindwi kua ST na hashindwi kukaa RW
Moto upo kwenye kiungo
Arsenal hao kwenye Twitter profile picture wameweka bendera ya LGBTQ ku-support Pride month halafu wame-post tweet ya "Eid Al-Adha Mubarak".
Sio ww tu mkuu...inaboa sana kutokufungua pichaDahhh simu yangu haifungi picha za JF inaniuma sana kukosa fursa kama hizi
Anyway unaongelea katimi gani mkuu
Trossard mwishon kacheza na majeruhi ,kwahiyo wanamchukulia poa , Sasa hivi kafanyiwa surgery ndogoMe mwenyewe nawashangaa wanaomchukulia poa. Alipokuwa Brighton alikuwa anafunga magoli mengi kwenye tight spaces. Hii system ya center forward kuungana na viungo, sometimes inawakoseshaga sana magoli