Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Sawa dau hilo linamake sense lakini jamaa anakula kwa wiki nafikiri ni 300K kama sikosei.Unpopular opinion
Kwanini tusiende pale Manjesta tukamsajili Jodan Sancho ambaye anaonekana kashafeli ila kiukweli Ni ubovu wa timu maana kwa balaa alilofanya Bundesliga Tena misimu miwili au mitatu alikuwa anaonekana Ni Potential inayokuja kutisha
Ukiangalia kwanza anachezeshwa out of position ,Sancho Ni Right winger au acheze 10 kwa ku alternate
Anafaa kuwa mbadala wa Saka
Kwa dau la £35-40m manjesta watamuachia ,
Yule mwana hamna kitu kwa salary anayoruka nayoSancho Mimi bado sijaona kama kafeli, udhaifu wake labda kwenye defense. Ila kwenye phase ya kushambulia Sancho namwogopaga sana, ana flexibility kubwa sana na utulivu ila manyumbu wanasema anatetemeka
Mashabiki wa man u wengi hawafahamu mpira..Sancho Mimi bado sijaona kama kafeli, udhaifu wake labda kwenye defense. Ila kwenye phase ya kushambulia Sancho namwogopaga sana, ana flexibility kubwa sana na utulivu ila manyumbu wanasema anatetemeka
Forwards hutengenezi nafasi, huna goals, huna assists ndiyo unataka tuanze stori za Weghorst za mikimbio si ndiyo?Hoja yangu bado ipo sawa kabisa yaani. Kocha anapomuhitaji mchezaji haimaanishi akishamsajili tu, basi ni moja kwa moja atafit kwenye mfumo wake, sometimes inachukua muda kidogo kuzoea mfumo na mazingira mapya.
Mchango wa mchezaji uwanjani haupimwi kwa Goals/Assists stats tu, Kuna vitu vingi sana vinaangaliwa.
Ndio.Forwards hutengenezi nafasi, huna goals, huna assists ndiyo unataka tuanze stori za Weghorst za mikimbio si ndiyo?
It's unrealistic assumptions kama unavyojiona wewe kwamba unajua mpira kuliko hao uliowasemaMashabiki wa man u wengi hawafahamu mpira..
Sancho ni mchezaji mzuri sana
Hivi huyu Timber ni beki kweli? Na kama ni beki je anajua kukaba? Maana kila compilation yake YouTube namuona anashambulia tu na kuwatoka wapinzani kwa spins na feints. Utani pembeni...Inaelekea atafaa kama Eboue flani kwenye attacking ila kwenye kakaba isije ikawa ni Trent Alexander-Arnold type. Kwa YouTube unaweza kudhani jamaa hakutani na attackers wa maana. EPL itamchallengeEXCL:
Jurrien Timber is an Arsenal player, the deal is done and sealed. Understand the second bid worth around £41.5m was accepted. #AFC
Personal terms agreed last week. Five-year contract, player will earn ~£85k/w, could rise to ~£120k/w + performance related add-ons.
Akubali mshahara wa £120k per weekSawa dau hilo linamake sense lakini jamaa anakula kwa wiki nafikiri ni 300K kama sikosei.
We unadhani kuna timu itamleta yule ale 300K wakati wenyeji hawana mshahara huo?
Pia mshkaji anafaa City kuliko united, timu inayomiliki mpira, dribble zinaruhusiwa ila temple siyo ya counter
Halafu Kumbe hii Ni sababu wachezaji wa manjesta hawauziki aisee kwa Salary hizo hata ukimnunua kwa £10m , akishusha mshahara hata nusu bado Ni mkubwaYule mwana hamna kitu kwa salary anayoruka nayo
Ana invert Sana kwenda kwenye midfield ,Anajua kukaba kuliko Zinny ndio utofauti waoHivi huyu Timber ni beki kweli? Na kama ni beki je anajua kukaba? Maana kila compilation yake YouTube namuona anasambulia tu na kuwatoka wapinzani kwa spins na feints. Utani pembeni...Inaelekea atafaa kama Eboue flani kwenye attacking ila kwenye kakaba isije ikawa ni Trent Alexander-Arnold type. Kwa YouTube unaweza kudhani jamaa hakutani na attackers wa maana. EPL itamchallenge
Watamsumbua nani?, wameshinda treble na mchezaji hawataki, timu haina class, haina tradition wala fanbase, just a plastic club. kwa usajili wa pesa za mafuta hata Norwich inaweza kushinda UEFA.Man City wana watu "smart" sana, hiyo ni kuanzia uongozi wa kiofisi mpaka benchi la ufundi, watasumbua sana.
Watasumbua sana.
Huyo jamaa huwa kama demu, kuna mwamba alimquote akamwambia natunza hii comment, haijapita hata wiki anaenda kuumbuka, ana force uhasimu wa liverpool na Arsenal, sisi hasimu wetu ni Man u na Spurs basi, nyie wengine msilazimishe hatuna uhasimu na timu zenu.Acha unafiki ,Alivyopost Di marzio siku ile ulisemaje ?
Simamia msimamo wako Kama mwanaume
Na kama Man city angetuma ofa ya pili (to match bid) unadhani Rice angeuzwa kwa shingapi? kitu kizuri kinauzwa kwa bei yoyote, acha akili za umaskini wewe boya.I swear,
Kama Manchester city wasingeingia kihuni kwenye hili dili, West ham wangemuachia Rice kwa 75m or Below.
Dogo, hakuna kiungo wa kumuweka Rice bench pale Man city, he is the best in the world, hata Guardiola anajua hilo.Man City hawezi kutoa £90+ m kwa mchezaji wa benchi.
Read between lines chief?It's unrealistic assumptions kama unavyojiona wewe kwamba unajua mpira kuliko hao uliowasema
Timber na Zinchenko watakuwa wakipanda kusaidia mashambulizi na kukaa sehemu ya kiungo.Hivi huyu Timber ni beki kweli? Na kama ni beki je anajua kukaba? Maana kila compilation yake YouTube namuona anashambulia tu na kuwatoka wapinzani kwa spins na feints. Utani pembeni...Inaelekea atafaa kama Eboue flani kwenye attacking ila kwenye kakaba isije ikawa ni Trent Alexander-Arnold type. Kwa YouTube unaweza kudhani jamaa hakutani na attackers wa maana. EPL itamchallenge
Erik alimtaka huyu Timber alivyokaziwa kwa Timber akamgeukia Martinez.Ana invert Sana kwenda kwenye midfield ,Anajua kukaba kuliko Zinny ndio utofauti wao
Ana accuracy kubwa ya pass , inamaana itakuwa rahisi kufanya buildup haraka na kwa usahihi