Hapo kwenye defense hebu check yeye na Caicedo nani anafanya defense vizuri.Rice ni mchezaji mzuri na wala sio overrated, anaweza asifikie kuitwa world class kwa maoni yangu ila ni mzuri hasa kwenye defensive ability na ndio maana anaitwa DM. Amekuwa hivyo kwa muda mrefu tofauti na wachezaji wengi wa kiingereza wanavuma halafu wanapotea kama akina Sancho. Ila mimi kati ya Rice na Caicedoa naweza kusema Cais=cedo ni prospect wa kuja kuwa versatile CM mwenye uwezo wa kukaba na kushambulia kwa pamoja
huwa unaongea fact, ndicho kinachokutofautisha na mashabiki fata upepo, kuongea unachokiona ni sahihi hakikuondoi ww kuwa shabik.Rice ni overrated sababu ni British, in my opinion huwa nawakubali sana South America players ni fighters na ball wanalijua hata baadhi ya African players pia huwa ni wazuri tatizo ni media coverage huwa haipo upande wao so Rice akija ni sawa asipokuja pia ni sawa tu
United wamewahoji Chelsea kwanini mmemuuza Kovacic kwa 30M kwa City ila sisi mnataka kutupiga kwa Mount.Rice ni overrated sababu ni British, in my opinion huwa nawakubali sana South America players ni fighters na ball wanalijua hata baadhi ya African players pia huwa ni wazuri tatizo ni media coverage huwa haipo upande wao so Rice akija ni sawa asipokuja pia ni sawa tu
huwa unaongea fact, ndicho kinachokutofautisha na mashabiki fata upepo, kuongea unachokiona ni sahihi hakikuondoi ww kuwa shabik.
#Respect
100 M hapana tumepigwa but hakuna namnaUnited wamewahoji Chelsea kwanini mmemuuza Kovacic kwa 30M kwa City ila sisi mnataka kutupiga kwa Mount.
It boils down kwenye utaifa.
Rice na hii English tax ndiyo inatutibua hapa. Hata hivyo mara kadhaa nilizomuangalia Rice naona hana ubaya huo ila hana uzuri wa 100M.
Umuoni Sancho ndani ya Arteta???Kwamba United inahitaji kuraise fund na miongoni wa wachezaji wanaouza ni Maguire eti kwa 40M. Labda klabu za Saudi zimchukue
Inaniuma kuona katika wachezaji wanaouza hamna hata mmoja ninayetamani aje Arsenal. Wanauza Sancho, Martial, Elanga, Fred na Scot
Rice anafanya vizuri na ndio maana nikasema Caicedo ni prospect kwa sasa bado rice kwa dm ni mzuriHapo kwenye defense hebu check yeye na Caicedo nani anafanya defense vizuri.
Nafikiri Arsenal tunakomaa na Rice kwa sababu havutiwi sana na kwenda mbele kama Caicedo, kupenda kwenda mbele kwa Caicedo ni kama Lokonga. So Rice akiwa pale inakua rahisi kucheza 4 3 3 ambayo ikichekechwa inakua 4 1 2 3.
1 DM na 2 ni AM
DM Rice na AM Kai na Martin
Kwa maoni yangu
Kova ana umri gani, utumbo huo kama wamehoji hivyo. Fatcor ya umri inaaffect sana bei. Huyo Kova anaweza akakata ubora wake hata kwenye 30 au 31 wakati Mount hadi afikishe 30 anazo miaka 6 mbele yakeUnited wamewahoji Chelsea kwanini mmemuuza Kovacic kwa 30M kwa City ila sisi mnataka kutupiga kwa Mount.
It boils down kwenye utaifa.
Rice na hii English tax ndiyo inatutibua hapa. Hata hivyo mara kadhaa nilizomuangalia Rice naona hana ubaya huo ila hana uzuri wa 100M.
Sio kwa ubaya ila timu yenu ina wazee wengi Sana ,baada ya Mac Allister , mnahangaika na vitoto kina manu kone , Thuram , Ni ngumu kwa stail hiyo kupambana na Pep
Wenzenu wanahangaika kusuka timu nyie mnasubiri miujiza ,Pep anakamilisha usajili wa Gvadiol kwa €100m
Unakumbuka mwaka Jana nilikwambia Sion mkifurukuta , msimu huu Kama hamtasajili CM wa kueleweka kazi mnayo ,hamuwezi kumtegemea Hendo na Fabinho pale Kati kwa EPL hii ambayo Newcastle ameshusha Sandro Tonal kwa €70m.
Thuram na Kone nimewaangalia , Sion Kama wapo tayari kwa EPL hiiThuram na Kone sio ‘watoto’ wana uwezo mkubwa sana,pale kati pia anaongezwa Barela pia beki wa pembani Pavard ili TAA acheze kati sio tena akina Fabihno.
Klopp kaisha kimbia nalo kombe lake.