aione computerarsenal zee la unyumbuniAccording to Transfermarket
Now Arsenal imepanda had nafasi ya 2 ya Most Valuable teams in the World
View attachment 2666979
punguza nyundo kaka wengine tunajaribu tu kuchambua wala hatuko serious.Kwahiyo we unahisi Rice hatokuwa sehemu ya wenye price tag kubwa na wakafanya vizuri?
Mlichukua hatua gani nyie washabiki wa Chelsea baada ya club kutoa zaidi ya £100 Kwa Enzo?
Au wewe unaewapenda sana Arsenal unashauri wangemnunua Nani?
Jamaa atanuna sana na utasikia atakavyopinga hii habari!..aione computerarsenal zee la unyumbuni
Hatakiwi kuzidharau Liverpool Manchester United Chelsea Tottenham ni PEP pekee mwenye jeuri hiyo Arteta ndio kwanza anajitafuta licha last season Arsenal imeonyesha uwezo but tusubiri next season aonyeshe tena maajabu isije ikawa one season wonder!maana Arsenal yenyewe haitabiriki sio ya kuiamini sana kwa sasa but let's wait and see
Nimeiona hii habari Congratulations kwa Arsenalaione computerarsenal zee la unyumbuni
Why nipinge?I am happy for this unajua sisi baadhi ya Arsenal fans tunajitambua sio sifiasifia hata kwenye nonsense that's why tunaonekana wapinzani hii ni habari njema sanaJamaa atanuna sana na utasikia atakavyopinga hii habari!..
Mkuuu hawa Newcastle mwakan si wakubezaSio kwa ubaya ila timu yenu ina wazee wengi Sana ,baada ya Mac Allister , mnahangaika na vitoto kina manu kone , Thuram , Ni ngumu kwa stail hiyo kupambana na Pep
Wenzenu wanahangaika kusuka timu nyie mnasubiri miujiza ,Pep anakamilisha usajili wa Gvadiol kwa €100m
Unakumbuka mwaka Jana nilikwambia Sion mkifurukuta , msimu huu Kama hamtasajili CM wa kueleweka kazi mnayo ,hamuwezi kumtegemea Hendo na Fabinho pale Kati kwa EPL hii ambayo Newcastle ameshusha Sandro Tonal kwa €70m.
Mkuuu hawa Newcastle mwakan si wakubeza
Why nipinge?I am happy for this unajua sisi baadhi ya Arsenal fans tunajitambua sio sifiasifia hata kwenye nonsense that's why tunaonekana wapinzani hii ni habari njema sana
Hapa nasubiria Rice tuBalaa la msimu ujao pale nyuma
Saliba
Gabriel
White
Timber
Kiwior
Tomiyasu
Toa white hapo timber ni RB, na Gabriel na saliba kati
Timber anacheza RCB na RBToa white hapo timber ni RB, na Gabriel na saliba kati