Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani tetesi za usajili wanatoa akina Fabrizio Romano, ila jamaa wanamchamba Hamisi77. Unajua brother Hawa ni Mashabiki wa nyumbu na akili zao zimeishia hapo.... Yaani magazeti ya michezo ya huko majuu yanatengeneza Tetesi nyingiiii kuhusu Arsenal Kwa kuwa Arsenal Ina Mashabiki wengi huko ulaya.... Sasa jamaa anacopy na kuleta habari hapa kama zilivyo, eti jamaa wanakereka na kuanza kutoa kejeli!.. wewe unaona Wana akili timamu! hao!.. hata kama mtu una chuki au hupendi kitu ni vizuri kuficha ujinga wako!.. brother Huyo jamaa asikupotezee muda ni kijana mdogo shabiki wa nyumbu asiye na uelewa wowote!... Nakuhakikishia deal la Rice likibuma atakuja Kwa furaha humu maana hapendi MAENDELEO ya Arsenal....
Sijawahi kuona taahira like you yaani deal la Rice libume Arsenal fans tufurahi?who is Rice by the way?yaani umeona Rice kwako ni bonge la player?ndio maana tunadharaulika kwa comments kama hizi then Arsenal ana maendeleo gani jamani for 18 years ago hata EPL hatujabeba na bado tupo Arsenal fans jamani?unasema hatutaki maendeleo ya Arsenal?niambie Arsenal ina maendeleo gani kwa zaidi ya miaka 18 sasa ?tukisema ukweli mnachukia sisi ni fans wa Arsenal but kusema hatutaki maendeleo ya Arsenal ni kichekesho kikubwa maendeleo gani sasa ?miaka 20 hatuna EPL hatuna champions league hatuna World club cup hatuna super cup hatuna Europa cup hyo yote ni zaidi ya more 20 years sasa maendeleo gani hatuyapendi?tukisema ukweli mara unaitwa nyumbu mara ID 2 bro relax tumeipenda team but ukiongelea maendeleo utatukanwa tu
 
Fabrizio Romano

Declan Rice deal.

West Ham always expected Man City to join the race after Gündogan decision.

Man City will only bid if player agrees to the move. #MCFC

Arsenal remain confident and prepared to bid again for Declan. Arteta, insisting. #AFC

No approach from Man United.
 
kina Fabrizio Romano ndio wanasemaga
"Player only wants Arsenal"?
Wewe jamaa nimeamini Ni nyumbu uliyetukuka,

Haya chukua hii ,

Fabrizio Romano

…it’s only Arsenal for Jurrien Timber at this stage. Waiting for second proposal to be submitted soon. #AFC

Personal terms agreed two days ago
 
Fabrizio Romano

Jurrien Timber believes Arsenal have the perfect project for his future. Manager and clubs plans immediately convinced the player, Arteta’s having big influence as he did with Havertz. #AFC

Second bid expected soon, more than €40m to advance in talks with Ajax.
 
Jurrien #Timber, on verge to join Arsenal! Bayern is not involved at this stage. The player wants to join Arsenal. Verbal agreement is done.

All depends on the the second official offer now
Agreement expected between €40-45m transfer fee + bonus payments.

Would be a good deal for all parties. #Ajax

@SkySportDE
 
| 𝗔𝗿𝘀𝗲𝗻𝗮𝗹 𝗧𝗿𝗮𝗻𝘀𝗳𝗲𝗿 𝗥𝗼𝘂𝗻𝗱𝘂𝗽 (June 24) :

𝗗𝗲𝗰𝗹𝗮𝗻 𝗥𝗶𝗰𝗲:

• Man City want assurances from Rice that he wants to join them before launching an official bid. [@MirrorFootball]

• Arsenal are preparing a third offer, which is understood to meet the Hammers’ valuation. [@MirrorFootball]

• West Ham are confident that a bid of £100m is on its way from at least one of the interested parties for Rice. Man City will not make a bid if Rice remains steadfast in his desire to join Arsenal. [@MirrorFootball]

• West Ham are encouraging Arsenal to make a third bid for Rice to bring a speedy end to the saga. [@talkSPORT]

• Man City have held talks with West Ham over Rice, but are yet to make a formal offer after being told the 24-year-old prefers a move to Arsenal. [@talkSPORT]

| ExWHUEmployee: “We can confirm that Man City held talks with West Ham over the sale of Declan Rice but did not lodge an official bid. It was made very clear that Declan Rice really favours a move to Arsenal over the two. The main factor is Arteta.” [via @afcstuff]

• Arsenal manager Mikel Arteta is doing his best to make the Declan Rice deal happen. He has been pushing for days. [@FabrizioRomano]

• Arsenal have confirmed to West Ham their plan to submit one more bid for Rice. The structure of deal/payment terms is key for West Ham. [@FabrizioRomano]

• Rice wants Arsenal and of course is flattered by the City interest, but he wants Arsenal. Arteta for 6 months now has been clear and passionate about what he envisions for Rice in his side. [@AlexGoldberg_]

• Arsenal believe Rice’s athleticism means he could also play as one of their two No8s. [@sr_collings]

• In emergencies Rice could also be deployed at centre-back. [@sr_collings]

𝗝𝘂𝗿𝗿𝗶𝗲𝗻 𝗧𝗶𝗺𝗯𝗲𝗿:

• Timber is on verge of joining Arsenal and the verbal agreement is done. Deal depends on the the second official offer now with the agreement expected to be between €40-45m transfer fee + bonus payments. [@Plettigoal]

• It’s only Arsenal that’s in the running for Jurrien Timber at this stage. Ajax are waiting for the Gunners second proposal that’s to be submitted soon. Personal terms were agreed two days ago. [@FabrizioRomano]

| De Telegraaf journalist Mike Verweij on Timber: “Arsenal is his dream and priority. He set his sights on that.”

• Arsenal believe Timber could be best as a right-back, tucking into the midfield. Zinchenko does a similar role on the left and the idea would be that Timber could come into the side on the opposite flank to replicate that when Zinny is out. [@sr_collings]

𝗞𝗮𝗶 𝗛𝗮𝘃𝗲𝗿𝘁𝘇:

• Havertz to undergo medical in the next hours. [@FabrizioRomano]

• Arsenal also hope to officially announce Kai Havertz from Chelsea in the next 48 hours after he underwent a medical over the weekend. [@MirrorFootball]

• There is also a belief at Arsenal that Havertz could thrive if used as a No8 in midfield. [@sr_collings]

𝗧𝗵𝗼𝗺𝗮𝘀 𝗣𝗮𝗿𝘁𝗲𝘆

• The Saudi approaches for Partey are concrete but there’s still no firm bid to the player as it’s just initial conversations. His priority remains European football and Arsenal would be open to let him go. The club have no plans to discuss a new deal. [@FabrizioRomano]

𝗙𝗼𝗹𝗮𝗿𝗶𝗻 𝗕𝗮𝗹𝗼𝗴𝘂𝗻

• Arsenal have put a £35million asking price on striker Folarin Balogun. [@TheSunFootball Exclusive]

𝗢𝘁𝗵𝗲𝗿

| @FabrizioRomano: “The intention at Arsenal is to focus on Declan Rice, to focus on closing the Kai Havertz deal, and then Jurrien Timber. So, this is why the second midfielder is probably something that will come to the second step of the transfer window.”

• Arsenal are closing in on Timber and retain an interest in Moises Caicedo. [@MirrorFootball]

#afc
 
Arsenal gearing towards £200m spending spree this week.

Havertz deal now a formality

Third bid for Rice imminent

Arsenal believe a compromise can be made below asking price and a deal can be struck for Timber

(@JackRosser_ Tier 1)
 
Toka Alhamisi tunaenda siku ya 4 Sasa , Mancity walikuja kwa Kasi ikisemwa wataweka Ofa siku hiyo hiyo au ndani ya masaa 24 kwa Westham

Hadi leo Jumapili hakuna chochote

Bado hawajapata Green light kutoka kwa Mchezaji

Mpira upo kwa Arsenal Sasa ,Rice atabadili mawazo iwapo Arsenal watashindwana na Westham

Fabrizio Romano anasema Arteta ametumia miezi 6 kumshawishi Rice
IMG_20230625_083825.jpg
 
| @FabrizioRomano on Arsenal, Mikel Arteta and Declan Rice. #afc [via YouTube]

This is still the case. Mikel Arteta, doing his best to make Rice deal happen — he’s been pushing for days.
IMG_20230625_085741.jpg
 
Sijawahi kuona taahira like you yaani deal la Rice libume Arsenal fans tufurahi?who is Rice by the way?yaani umeona Rice kwako ni bonge la player?ndio maana tunadharaulika kwa comments kama hizi then Arsenal ana maendeleo gani jamani for 18 years ago hata EPL hatujabeba na bado tupo Arsenal fans jamani?unasema hatutaki maendeleo ya Arsenal?niambie Arsenal ina maendeleo gani kwa zaidi ya miaka 18 sasa ?tukisema ukweli mnachukia sisi ni fans wa Arsenal but kusema hatutaki maendeleo ya Arsenal ni kichekesho kikubwa maendeleo gani sasa ?miaka 20 hatuna EPL hatuna champions league hatuna World club cup hatuna super cup hatuna Europa cup hyo yote ni zaidi ya more 20 years sasa maendeleo gani hatuyapendi?tukisema ukweli mara unaitwa nyumbu mara ID 2 bro relax tumeipenda team but ukiongelea maendeleo utatukanwa tu
Maendeleo anayomaanisha jamaa ni vikombe vya mwanaFA na kuongoza ligi kwa siku 258 mkibakiza mechi 8 na points8 juu dhidi ya timu iliyokua nyuma yenu.
Kwa fans wa Arsenyani hata hivi vikopo vinavyotolewa kila mwisho wa mwezi hua wanaehesabia ni maendeleo makubwa na ufahari kwenye timu yao.

Poor Arsenyo.
Screenshot_20230518_150420.jpg
 
Sijawahi kuona taahira like you yaani deal la Rice libume Arsenal fans tufurahi?who is Rice by the way?yaani umeona Rice kwako ni bonge la player?ndio maana tunadharaulika kwa comments kama hizi then Arsenal ana maendeleo gani jamani for 18 years ago hata EPL hatujabeba na bado tupo Arsenal fans jamani?unasema hatutaki maendeleo ya Arsenal?niambie Arsenal ina maendeleo gani kwa zaidi ya miaka 18 sasa ?tukisema ukweli mnachukia sisi ni fans wa Arsenal but kusema hatutaki maendeleo ya Arsenal ni kichekesho kikubwa maendeleo gani sasa ?miaka 20 hatuna EPL hatuna champions league hatuna World club cup hatuna super cup hatuna Europa cup hyo yote ni zaidi ya more 20 years sasa maendeleo gani hatuyapendi?tukisema ukweli mara unaitwa nyumbu mara ID 2 bro relax tumeipenda team but ukiongelea maendeleo utatukanwa tu
Watu wenye akili ndogo silaha yao kubwa ni matusi!... Anyway.... Ahsante!... Domo lako linatema matusi kama mavi
 
Kama shabiki wa mpira (ukiacha ushabiki wa Arsenal) sielewi Man City wanamaanisha nini wanaposema wanaacha kubid mpaka Rice aseme anawataka. Kwani wao si wanatakiwa watume mjumbe Kwa wawakilishi wa Rice na kuwashawishi wamshawishi Rice ajiunge na project yao? Nahisi Kuna kamchezo tu hapa.

Huenda City hawana mpango na Rice au wanampango naye na wanafanya Kila juhudi wampate.

West Ham wanachonganisha Ili wapate dau kubwa ingawa Mimi Bado naona hawastahili hicho wanachoomba. Ila soko la mpira siku hizi liko hovyo. Kuna mtu analipa 1m anapata Martinelli na anafanya vizuri msimu wake wa kwanza kuliko Antony alivyofanya msimu wake wa kwanza Kwa 100m
 
Hizo Assumption ndio nilizisema Jana

Baadae zikatoka habari ,na leo Fabrizio kasema city hatabid mpaka apate Go ahead ya mchezaji

Na Hawa Hawa kina Fabrizio, Ornstein walisema Alhamis mchana City walifanya mazungumzo na Rice

City ni Oil money why mpaka Sasa masaa 72 kimya ,

Japo taarifa zinasema City hajakata tamaa bado mpango wake Ni ule ule kutuma ofa
 
Apart from Arteta was crucial to Havertz to Arsenal , there were some Arsenal players who were messaging the player as well

(@FabrizioRomano via @caughtoffside )
 
Wewe jamaa nimeamini Ni nyumbu uliyetukuka,

Haya chukua hii ,

Fabrizio Romano

…it’s only Arsenal for Jurrien Timber at this stage. Waiting for second proposal to be submitted soon. #AFC

Personal terms agreed two days ago
We jamaa ni mwehu, its only Arsenal kwa sababu ni Arsenal tu ndie anaemtaka, sasa ukiwadanganya kondoo wenzio kuwa mchezaji anataka only Arsenal, halafu mwisho wa siku mchezaji anaenda timu nyingine. Unarud kutudanganya kuwa ni siasa zilitumika. Humu tunaingia watu tofauti tofauti na wenye uelewa,usifikiri ni huko vijiweni kwenu.
 
Wewe Ni chizi hata wenzio kule jukwaa la Chelsea wanakuchukuliaga chizi ,

Timber alikuwa anatakiwa na Bayern , manjesta na Liverpool

Na Plettigoal Ni muandishi wa. Habari za Bayern Munich anafanya kazi Sky sport German ,ndiye alianza kuripoti , Timber hataki kwenda Bayern na sababu aliziweka

Timber alialikwa na Ten hag mech ya FA cup juz hapa

Ndio maana wanakuchukulia chizi , Wanaosema ameamua kwenda Arsenal sio Mimi ,unakuja unaniparamia Mimi

Nakupiga ignore
 
Back
Top Bottom