Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelsea walimsajili kwa 75M hivyo 65M ya Arsenal ni karibu na kurudisha pesa yao hivyo 10M ilopotea si mbaya.

Hapana, 10m, ni cost waliyomtumia. Kumbuka mchezaji akinunuliwa anakuwa depreciated kila mwaka. Kwa Chelsea, book value ya Kai inaweza kuwa £30m ingawaje market value ni hiyo £65m
 
Arteta asajili ajuavyo ila aniletee Lavia

Yule dogo kwa miaka 19 , nimemshuhudia akicheza kikubwa Sana, akiwapoteza vzr viungo pinzani
Why Lavia over Caicedo au kwakua ofa yake ni kubwa zaid ndo maana unamkubali sana Lavia kuliko Caicedo?
 
katika tetesi zoote na sajili zote nachosubili kwa hamu ni kuona huyu jamaa atatumika vipi na Arteta.
 
Licha ya yote haya bado tunaitaji RW
 
Kai jamani ni mchezaji wa level ya juu sana.utaona uzuri wake zaidi akiwa hapo arsenal,au man city au madrid sio aina ya mchezaji wa chelsea.very very technical player arafu anajua na kukaba na kutoa pasi.kwangu mimi huu ni usajili bora zaidi ya RICE.achana na number za magoli lakin ni ongezeko la mchezaji bora zaidi.kiachofurahisha tunakuwa na wachezaji watano mbele ambao wako very comfortable na mpira dhidi ya audui.hapo unamzungumzia ,martinel,saka,Jesus,odergard na huyu Kai.
 
Eti kai anajua kukaba ushabiki mmbaya sana
 
Lavia nilimwona vizuri Ile game yetu na wao. Kwa aina ya timu Yao na uchezaji ule. Kwa maoni yangu, Lavia ana potential kubwa kuliko Caecedo
Nimegundua wengi hawaangalii mechi ,Bali wapiga kelele tu,

Kaangalien mech ya Arsenal vs Soton , Lavia alimpoteza vzr Partey Kama sikosei ,

Kuna mtu anasema Lavia eti Hana nguvu nimeshangaa Sana
Nashindwa kuweka Video hapa

Lavia anacheza Kama Partey kwa umri wake ule Hana nashangaa ,kwanza Ni press resistant , ana nguvu,anafanya zile turn Kama za Partey , kitu ambacho Caicedo hafanyi

Niliangalia mechi Kama 10 namfatilia nilikuwa na jamaa angu wa Liverpool ,Kuna mechi ikafika na Soton vs Chelsea ,tukaenda kumcheki Tena ,Kama kawaida aliwavuruga pale Kati vzr tu


Nataka Chelsea wamchukue Caicedo ,Mungu asaidie tumchukue Lavia halafu tukutane hapa January tu

Nenda YouTube tafuta highlight zake zenye dakika 10+ , tafuta mech yake Vs Arsenal , Vs manjesta ,vs Chelsea ,vs Liverpool
 
Eti kai anajua kukaba mshabiki mmbaya sana
kUna mwingine anakwambia anajua kufunga, yaani hawa Arse88 huwa wanachekesha. halafu wana akili sawa, kasoro wawili humu ndio naona wanajielewa.
Arteta akishasema wao wanafuata tu kama makondoo, hata leo akisema anasajili Antony wa Man u, utaona watakavyomsifia.
 
Hahahahaaa leo huyo dogo mtampamba na kumsifia sana wakati huohuo mlikuwa mnamponda, ila ukwel ni kuwa mmelamba gharasa. Ila mashabk wa asenyeto ndio maana mnapigwa mawe sana maana mna chonga sana hizo domo zenu
 
Havertz looks more and more like a Xhaka upgrade.

He has a magic left foot, superb passing, and makes brilliant runs into the box that Arteta loves from that role.
 
| Mikel Arteta is a long-time admirer of Kai Havertz and believes he can help his team bridge the gap to Man City. His arrival is expected to be followed by that of Declan Rice.

Arsenal had a second bid of £90m rejected by West Ham on Tuesday but should sign the midfielder soon, more than likely for £100m.


[@FabrizioRomano, @guardian_sport] #afc
 
MAONI YANGU KUHUSU KAI ATAKAVYOTUMIKA

Kwenye 4-3-3 yetu Ni eneo la Xhaka tu ndio limeshindwa kutupa 10+ goals

Ile system imetengenezwa RW na LW wachangie 10+ goals

LH side no.8 achangie 10+ goals

RH side no.8 achangie 10+ goals

Ni LH side kwa Xhaka ndipo palikosa goals 10+ , na kulionekana Kama pangepatikana mtu mnyumbulifu Basi angepiga 10+ goals

Kwa nionavyo kwa sifa za Kai maana anaonesha Ni mchezaji aliyefanya runs nyingi EPL , means anashambulia box

Tusubiri kumuona pia kwenye double 8/10 yeye na Odegaard chini ya DM (Jorginho au Rice )

Lakin pia unaweza ukamtumia Kama false 9 ,nafasi aliyoicheza Sana na kwa usahihi Leverkusen akafunga goal nyingi

Kitu kingine Ni mzuri kwenye aerial duel ,katika magoli yake 32 Chelsea ,magoli 10 Ni ya vichwa

Tutarajie kumuona akitumika Kama false 9 au kwenye double 8/10 upande wa kushoto ,nafasi aliyokuwa anacheza Xhaka

Binafsi nataman Sana kumuona kwenye double 8/10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…