Jifunze kwanza kuandika we nae, kuandika yenyewe hujui afu una niquote, ngoja nakupiga ignore list umbwa computerarsenal.
Huyu huyu kai ninayomfahamu mimi au mwingine?Thierry Henry tells us Kai Havertz has some similarities with RVP:
“He reminds me a little, a very little, of Robin with his back to goal in the way he can hold the ball...
“Robin was always very good with his left foot, the touch was immaculate to try and bring people along…
Biashara za Usajili sio rahis hivo, dirisha si ndio limefunguliwa hata wiki halinaNaona kama userious mdogo.. tulileta masihara msimu wa mwaka jana ambao ni city tu alikuwa mpinzani, na bado naona hatutaki kumaliza biashara mapema.
Wacha tuone wana mpango gani.
Pale Chelsea Kuna mfumo gan au uchezaji gani ambao unaweza kuona kipaji Cha mchezaji ?Huyu huyu kai ninayomfahamu mimi au mwingine?
Kama kweli Bayern au Madrid wanantaka haswa wangetoa hiyo 75 ila wamemthaminisha wameona hana hiyo thamani ndio maana wamejitoaPale Chelsea Kuna mfumo gan au uchezaji gani ambao unaweza kuona kipaji Cha mchezaji ?
Ancelot anamtaka ,bajet ndio imemshinda
Tuchel anamtaka pia, bajet yao ndogo
Arsenal wanamtaka Tena wamemuweka kwenye list ya juu
Wewe mla mihogohuoni chochote alichonacho?
Kila mchezaji yupi?Hv Arsenal mnashida gani? Kila mchezaji mpo na Strong interest naealafu hamsajili saiv mpo kwa Romeo Lavia
Madrid pesa kubwa watatumia kwa CF maana tayari wameshatumia €100m kwa Jude, Ni swala la vipaumbele tu , Madrid alitaka atoe mwisho £50m , hata Arsenal tunatoa mwisho £60m(ikiwa na add ons ndani) Coz Ni kipaumbele eneo la AttackingKama kweli Bayern au Madrid wanantaka haswa wangetoa hiyo 75 ila wamemthaminisha wameona hana hiyo thamani ndio maana wamejitoa
Hua sina tabia za kike kukimbia comments kama weweHasa hata ukilalamika Utasaidia nini nigga? We kaa na mkeo angalia mpira mambo ya ufundi mwachie Arteta, kwani maoni yako yalisaidia vipi kuirudisha Arsenal UEFA? Acheni kutafuta attention kama mademu, wengi mnaamini kukosoa ndio inafanya muonekana mnajua mpira wakati hopeless, round hii tutawakumbusha comment zenu labda mzifute .
Wala hawatakuelewa!.. Kuna watu Wana Gubu la soka!.. wanashabikia mpira Kwa kulalamika!.. na wanataka kocha asajili kama wanavyotaka wao!.. hawajiulizi kama Kuna pesa ya usajili ama hakuna!.. kama Arteta angekuwa anaingia humu na akachukua ushauri wa Mashabiki hakika tungeshuka daraja.. msimu uliopita tumecheza 4:3:3 karibu msimu mzima na kocha alishindwa kubadili mfumo kutokana na wachezaji tulikuwa nao.. Watu hawajui kuwa Rice atatusaidia kubadili formation na pia kuimarisha safu ya ulinzi. Watu wsnalaumu Kwa Nini Arsenal wamejitoa Dili la Caicedo lakini hawajui kuwa Bei ya Caicedo imepanda maradufu Baada ya sisi kuonyesha interest.. ni kweli Caicedo ni chuma hasa, lakini Brighton wanauza Kwa nyodo sana.. Tumuache kocha afanye kazi, usikute hata Pesa ya kusajili hajapewa.. aisee watu Wana Gubu!...Talent ID unaipima kwa sajili zote zifanikiwe? Hakuna kocha wa hivo duniani ,Pep amefeli Mara kadhaa , Arteta kwenye sajili zake 10 unakuta 70% zinafanya vzr , hata kwenye kuendeleza vipaji, ndio maana mchezaji Kama Rice ,Kai wamevutiwa na project yake,
Kuumia kwa Saliba , Ni kweli kuliyumbisha kule nyuma ,but kumbuka ndio Kipind ambacho na Tomiyasu aliumia pia ,na Jakub kiwior alikuwa haja settle kwenye mfumo , Kama Saliba angeumia ,na Tomiyasu angekuwa ok ,bas White Ange shift RCB na Tomiyasu angecheza RB , na tunge cover tatizo ,
Maana Holding alikuwa kwenye mipango ya kuachwa msimu huu, hakuna aliyetegemea tuwapoteze Saliba ,Tomiyasu kwa wakati mmoja ,
, Jakub kiwior alipokuja kucheza alicheza vzr tu ,maana uwepo wa holding ulizuia ARSENAL kufanya build up kwa USAHIHI, Hadi Saliba hajaumia ,Arsenal ndio timu iliyokuwa inafanya buildup zinazofanikiwa kwa USAHIHI
Msimu uliopita hatukuwa na tatizo kubwa la Depth ukifananisha na msimu wa juzi, hivo Kuna progress ipo kwenye kuongeza Depth na Quality
Kama Tunamleta Rice ,lavia ,Kai ,RB ,RW Basi tutakuwa tumeongeza depth kwa asilimia kubwa
Kumbuka Tomiyasu, Saliba wanarudi pre season pia Kuna Kiwior ambaye kiwango chake Ni kizuri
Cha muhimu tunahitaji wachezaji wa 5 ambao ni versatile
Nimesikia Arteta anataka kumtumia Kai pia Kama false 9 Kama alivyotumika Leverkusen
Kwa munufaa yako jifunze kwanza kuandika, jifunze matumizi ya alama za uandishi na mpangilio mzuri wa maandishi, labda naweza kuelewa unachoandika, mwandiko mbaya kama bata yaani paka unaboa. This is serious issue.Hujui hata typing error na kushindwa kabisa kuandika!! Kwako vyote ni sawa! Halafu unajiona akili kubwakila mtu anayewapinga humu ndani ni computerarsenal , akili zako zimeishia hapo!!
As long as utakuwa unaleta viroja humu lazima tukupinge, we are not your kids huwezi kutudanganya unavyotaka !! Arsenal fans since 2004/2005 mnaishi kwa false hope yaani unakuta jitu kama hili linasimama mbele za watu linakuambia arteta ana mafanikio , ukiuliza mafanikio yapi linakosa jibu linahamisha mada “ oooh hujui kuandika mara ignore list” ukitaka usipingwe humu ndani hizi habari unatakiwa unawapa mkeo na wanao tu , maana hao hawawezi kukupinga .
Nikikuona unaandika upuuzi sikujibu, na mtu anayeandika kutafuta cheap popularity kama wewe nitakujibu kukuchefua tu.Hua sina tabia za kike kukimbia comments kama wewe
Hapana Mimi na wenzangu tulisema sana humu kuwa depth itatuua kwenye defence nikazodolewa kwamba haiwezekani wachezaji wote wakaumia wakati mmoja na kwamba tuna wachezaji versatile wengi.Kuumia kwa Saliba , Ni kweli kuliyumbisha kule nyuma ,but kumbuka ndio Kipind ambacho na Tomiyasu aliumia pia ,na Jakub kiwior alikuwa haja settle kwenye mfumo , Kama Saliba angeumia ,na Tomiyasu angekuwa ok ,bas White Ange shift RCB na Tomiyasu angecheza RB , na tunge cover tatizo ,
Maana Holding alikuwa kwenye mipango ya kuachwa msimu huu, hakuna aliyetegemea tuwapoteze Saliba ,Tomiyasu kwa wakati mmoja ,
Tomi hachezi mpaka January kwa taarifa zilizopo. Muda wa pre season labda recovery tu sio kucheza maana ni long term injury.Kumbuka Tomiyasu, Saliba wanarudi pre season pia Kuna Kiwior ambaye kiwango chake Ni kizuri
Hakuna anayepinga uwezo wa Kai ila sio priority kabisa kwa Sasa. Huyu Arteta anaenda kutuzamisha kabisa msimu huu kama usajili huu utafanyika.Nimesikia Arteta anataka kumtumia Kai pia Kama false 9 Kama alivyotumika Leverkusen
Naapia sina tabia za kike kukimbia comments kama weweNikikuona unaandika upuuzi sikujibu, na mtu anayeandika kutafuta cheap popularity kama wewe nitakujibu kukuchefua tu.
Tatizo Kai na Rice wakija ni zaidi ya 170 hiyo so haitowezekana kununua RB, RCB na back up CM au rotation ya Saka.Nyie si ndio mlipinga ujio wa Jorginho, Ode ,n.k?
Na Kai hamumtaki ?
Ngoja tuone ,But Kai anakaribia Sana kujiunga Arsenal ,
Lavia pia mazungumzo yapo maana wakala wake ndiye kashughulikia Saka aongeze mkataba mpya