jana zilipobaki dakika sita nikazima TV ... coz timu iliyocheza 1st half ni tofauti kabisa na ya 2nd half .. wenger pls jenkinson umempa nafasi nyingi sana aoneshe kwamba yeye anaweza.. game ya kwanza alijifunga goli maridadi.. game ya jana mipira yote alikuwa anapoteza .. wakuu tutakuja kushangaa ligi ikianza babu yetu bado ataendelea kumng`ang`ania kijana ... but nashangaa nasoma habari za media`s uk wanamsifia eti ame improve jana! ,mpaka nikasikia kutapika ewwwww!!
Van persiee kafunga
khaaaa? mpaka Navoyne nawe umerudi hapa? ama kweli msimu unakaribia kuanza.
Well well well...
Arsenal 1st Lady Michelle, mbado kumwona hapa...anamalizia likizo.
Chelski aka 'Chausiku' 1st Lady Nayvone.
ManUre 1st Lady BJ aka Belinda Jacob.
Roll Call inaendelea...
Jagielka anakuja mkuu tayari Everton washakubali dau. Alafu pasi ya Henry ilikuwa nzuri sana na goli zuri tu angle mbaya beki kakutana na mpira pale ni rahisi sana kujifunga.As usual! Poor arsenalTunafungwa magoli ya kizembe.Mabeki kila siku wanajifunga!Kwani Wenger huon?Acha ubahili babu
Unavyoona kati ya Jagielka na Samba, nani anatufaa zaidi?Jagielka anakuja mkuu tayari Everton washakubali dau. Alafu pasi ya Henry ilikuwa nzuri sana na goli zuri tu angle mbaya beki kakutana na mpira pale ni rahisi sana kujifunga.
Jamaa ndio kashafanya maamuuzi kwa jagielka.kwa Cahill wala ku bid hajaenda wakati kabakisha mwaka mmoja tu kwenye contract. Samba january ilikuwa nafasi nzuri sana jamaa ameweka pozi.Mie niliacha kuumiza kichwa kwenye mambo ya usajili manake Wenger huwa anafanya mambo yake chinichini .Kingine naona hapa ni swala la Nasri na fabregas bora wafanye maamuzi mapema mnake tunahitaji supplier wa maana pale kati,Arshavin kazi hio anaiweza kwani kule russia alikuwa anatoa mapande makali sana.Ramsey anajitahidi lakini msimu huu hayuko tayari kwa majukumu mazito.Get your damn check-book now Mr. Wenger!!! Kwa upande wangu nahisi imekuwa poa tumekosa haka kakombe kwa maana itampa muda mgumu Wenger, sasa anajua hakuna muda wa kupoteza na kujidanganya difensi hatuna, tunahitaji kununua difenda walau wa2 na sio Jagielka tunahitaji 2 world class defenders.
Nimemsikia kwenye interview baada ya mechi ya leo eti anasema kipindi cha kwanza amefurahishwa na difensi yetu? Yaani kuna wakati akiongea unatamani umrukie!Jamaa ndio kashafanya maamuuzi kwa jagielka.kwa Cahill wala ku bid hajaenda wakati kabakisha mwaka mmoja tu kwenye contract. Samba january ilikuwa nafasi nzuri sana jamaa ameweka pozi.Mie niliacha kuumiza kichwa kwenye mambo ya usajili manake Wenger huwa anafanya mambo yake chinichini .Kingine naona hapa ni swala la Nasri na fabregas bora wafanye maamuzi mapema mnake tunahitaji supplier wa maana pale kati,Arshavin kazi hio anaiweza kwani kule russia alikuwa anatoa mapande makali sana.Ramsey anajitahidi lakini msimu huu hayuko tayari kwa majukumu mazito.
Mkuu Samba namkubali na sikuamini Wenger alipuuza kumnunua january na mpaka sasa hivi sijui kinachoendelea lakini kuna uwezekano anaweza kuleta beki hata wawili kama yule serious na kama atamleta beki mmoja tu wa kati basi ni lazima atafute beki ya kushoto la sivyo ni wasindikizaji tu season hii kama kawaida na matokeo yanaweza kuwa mabaya zaidi.Si umeona fans wamezomea leo baada ya game? Mpaka fans kufikia wanazomea kwenye pre season game basi Wenger ujumbe utakuwa umemfikia.Unavyoona kati ya Jagielka na Samba, nani anatufaa zaidi?Kwa maoni yangu naona tunamuhitaji mtu ambaye ni aggresive kama Samba! Jagielka hana tofauti na Kosn!
Wenger ndio mchezo wake yeye kila siku anajifanya hayaoni makosa na ndio maana anashindwa kuerekebisha na kila siku tunapoteza game kwa style hile hile.Jamaa beki anafanya big issue kwa ajili ya ubishi tu wakuta kulazimisha kwamba alichochagua yeye ni bora wakati dunia nzima inaona ubovu wake. Kipa Shay Given yule pale kamuachia kwa mara ya pili tena angeweza kumsaidia sana Szcesny kwa uzoefu wake lakini wenger anaenda kumuachia majuku dogo ambae hata ku-communicate na beki wake hajui na tutaendelea kuruhusu magoli ya kizembe.Beki ya kushoto kule hata simuelewi ana mpango gani lakini ukweli ni kwamba Gibbs na Traole hawako ready labda kama tunaendelea kukuza vipaji vyao basi tutegemee pia kuendeleza ukame wa makombe.Nimemsikia kwenye interview baada ya mechi ya leo eti anasema kipindi cha kwanza amefurahishwa na difensi yetu? Yaani kuna wakati akiongea unatamani umrukie!Unajua Arsenal mazoezini hakuna msisitizo wa kudifendi? Wenger ujuzi wake zaidi ni kwenye kuboresha mashambulizi, wakati umefika na amuajiri kocha mfano Adam ama Keown kufanya kazi na mabeki, yeye Wenger alipata bahati ya kurithi defensi iliyofundishwa na mtaalamu wa kujenga difensi George Graham na ndio ilikuwa foundation ya mafanikio yake, katika usajili wake wa mabeki naweza sema ni A Cole, Gallas , Campbell na Sagna ndio alipatia, TV5 ni beki mzuri na hata Djourou ila huwa wanafanya makosa ya kizembe mara kwa mara ni kwa sababu wamekosa mafunzo na kuunganishwa jinsi ya kudifendi pamoja kama timu.