Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hamis77 kumbe tunamtaka na gundogan, ila SI nimesikia Ali sign annual contract na Barcelona
Anatakiwa na Barca , Arsenal na city wanataka kumuongezea mkataba mwaka mmoja

Mke wake Ni mshabiki wa Barcelona

Ataamua Leo baada ya fainal pakwenda

Kuna uwezekano mkubwa hatabaki city ,

Barca bado wanabanwa na FFP ,inaweza kuwa advantage kwetu
 
️ | TRANSFERS: Arsenal close in on Saliba extension.

: Transfer guru Fabrizio Romano has claimed that Arsenal are closing in on a new deal for star defender William Saliba.

Romano: “Understand Arsenal are advancing in talks to extend William Saliba’s contract. New round of talks has been scheduled and will take place in the next hours.”

“All parties are confident to reach an agreement. Not done yet but getting closer.”

Saliba is arguably the best defender in the world and his age group with the Gunners desperate to tie him down to a new deal.


Reports are stating that the young French international could sign a £200k per week contract at Arsenal
#AFC #Transfers #Arsenal #Saliba
 
Anatakiwa na Barca , Arsenal na city wanataka kumuongezea mkataba mwaka mmoja

Mke wake Ni mshabiki wa Barcelona

Ataamua Leo baada ya fainal pakwenda

Kuna uwezekano mkubwa hatabaki city ,

Barca bado wanabanwa na FFP ,inaweza kuwa advantage kwetu
Trust me anabaki city, Kama Barca sheria zitawabana- sioni akikubali kupoteza uchezaji wake wa mwishoni ili atue arsenal🤔.
👉🙃But you never know-how coz earth is full off wonders
 
Arsenal want 2 midfielders, a defender and possibly a forward

Internally, it has been agreed that the final stages of this season showed the squad needs more depth - especially now Arsenal are back in the Champions League

(@sr_collings )

standard.co.uk/sport/football…
 
️ | TRANSFERS: Arteta’s Dream Starting XI.

: Mikel Arteta would be able to complete his dream starting XI with the signings of three elite players this summer.

󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Ramsdale (GK)
Zinchenko (LB)
Gabriel (CB)
Saliba (CB)
CANCELO (RB)
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 RICE (CDM)
CAICEDO (CM)
Odegaard (CAM)
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Saka (RW)
Martinelli (LW)
Jesus (ST)

Signings Mikel Arteta wants to make:

Joao Cancelo (RB - £40m - Man City)
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Declan Rice (CDM - £95m - West Ham)
Moises Caicedo (CM - £80m - Brighton)
#AFC #Transfers #MCFC #BHAFC #WHUFC
 
USAJIRI WA KWANZA NI KUBAKIZA WACHEZAJI BORA WALIOPO


EXCL: Arsenal have reached agreement with William Saliba over new 4yr contract. 22yo had 12mnths on existing deal but fresh terms will tie him down until at least 2027, amid strong interest from PL + abroad. Now on to paperwork stage @TheAthleticFC #AFC
 
Bukayo Saka - 2027
William Saliba - 2027
Gabriel Martinelli - 2027
Gabriel Jesus - 2027
Gabriel Magalhaes - 2027
Aaron Ramsdale - 2026
Ben White - 2026
Martin Ødegaard- 2025

Restarted from scratch and now look. Unbelievable work.

Arsenal’s future is bright. Very, very bright.
 
Kipindi Cha Wenger ,Ungekuta tunawapiga Bei , tunaanza kuweka matobo badala ya kuzidi kuimarisha zaidi timu


Pongezi kubwa sana kwa Edu Gaspar & Mikel Arteta kwa kufanya jitihada za kuwasanisha hawa madogo mikataba mipya this is a big W
hasa hasa kwa Saliba

Well done Arsenal


Now Tusubiri New incoming
 
NYUNDO YA UTOSINI


KWA Mfumo na Namna Tunavyocheza tunahitaji Zaidi tuwe na Controllers wengi yaani Wqchezaji Wengi Ambao ni Techinical Gifted/Wenye Uwezo Binafsi na Ambao wanaweza Kufanya maamuzi Sahihi Hata Kwenye Mazingira Magumu/Mechi Ngumu..

Asilimia Kubwa Ya Game Nyingi Msimu Huu Tuliziweza Kimbinu na Kiufundi kasoro Game za City na Brighton..Ukiangalia Arsenal Inavyocheza na Spurs au Man U au Liverpool unaona Kabisa kuna Big Big Improvement ila Tukicheza Na city unaona kabisa Tuna Safari Ndefu Sana...Unajua Kwanin??

Cha Kwanza..City wana Misimu Zaidi ya Mi4 wanafanya Wanachofanya katika Ubora Ule Ule...

Cha Pili City wana World class Manager ambaye ni Second to none in this world Pep Guardiola

Cha Tatu City wana World Class Players ambao ni Controllers na Wanafit Kwenye Mfumo Wa pep 100%...

Faida Kubwa ya Wachezaji wazuri wenye Uwezo Binafsi wa Kukaa na mali na Ku control games ni Kwenye Games zenye Pressure Kubwa ya Matokeo Utaona Kwao ni So easy yan...

Pale Anapocheza Thomas Partey/Rodri ndo Uti wa mgongo wa mfumo mzima.Ile Segemu inahitaji Mchezaji aliyefit asilimia 85 ya game zote na pia Acheze kwenye kiwango chake kwenye Mechi nyingi haswa zenye pressure..

Kushuka Kiwango kwa Thomas Partey ilikuwa ni Pigo Kubwa mno ambalo Haliwez Kuelezeka

Uimara na Ufit wa Partey ndo Flow nzima ya Team Inapoanzia na Unapata Ubora wa Captain Saka na Wenzake

Nasikitika Kusema kwenye Beki zetu zote Ukimtoa Zinny hakuna mwenye uwezo mzuri wa ku pass na maamuzi akiwa na Mpira kama Saliba..Kuumia Kwa Saliba Tulipoteza Vitu vingi Sana Kule Nyuma..

Maboresho Eneo la Kati na kuendelea kuongeza Technically players ndio Cha muhimu
 
Hapa kweli naona arsenyani mnaenda kui dominant hii ligi kwa miaka 10
 
Arsenal tutakuwa na Center back Bora EPL Mpaka 2027


Daah siku zile nyakati Kama hizi ndo unasikia Cesc Fabregas anatucha anaenda Fc Barcelona

Samir Nasri anaenda zake Manchester City
 
Arsenal wanawataka Rice na Caicedo anadokeza mwanahabari Kaya Kaynak wa Football London
[@kayakaynak97]

Akifichua habari za ndani, Kaynak alisema kwenye The Arsenal Way Podcast,

"Niliambiwa Januari kwamba mpango wa Arsenal ulikuwa kuwataka Rice na Caicedo kusajiliwa kabla ya tarehe ya mwisho ya kuhama ya Septemba 1."

Kuhusu masuala ya fedha, alihoji,

"Kuna pesa, na niliambiwa... ndivyo itakavyokuwa.

Je, kuna pesa hizo za kuwasajili Rice, Caicedo, na wachezaji wengine kadhaa wenye vipaji?"

Niliambiwa kuna ofa ya The Gunners ya pauni milioni 70 ilikataliwa kwa Caicedo January na thamani ya Rice ya pauni milioni ni 100 , ina maana dirisha kubwa kutakuwa na pesa kubwa ya usajiri kwa

#Arsenal #TransferNews #Rice #Caicedo
 

Hakuna exceptional ya city yoyote, points mlizovuna ni ubingwa
aaah akili za arsenal muachie shabiki wake , mmeshindwa kubeba ubingwa kwasababu tu arsena ni failure team na si kingine yaani unaongoza points 8 then unachoma kwa soton relegated team unaenda ku draw na westham aliyekuwa ana fight relegation unakuja na porojo za exceptional ya city nyie bahati mlioipata haitatokea tena!! Ingekuwa bahati hio wamepata Newcastle,liver , chelsea or man utd now tungekuwa tunaongea ubingwa kwao !!!!
Bila CF hakuna sehemu mtaenda!! Jesus akipata majeraha then anacheza Nketiah sio
msijekuleta matusi tena na makasiriko!!!

CF wapo wengi tu mfano ivan toney na Hojlund they are not average players
 
Mjiandae ,na muombe Pep asiondoke EPL ,

Huhitaji mtu aondoke ili uwe bingwa mbona mentality zenu ni butu hiviii bora hata ten hag alijipa matumaini kwamba “we are going to battle them all” ila wewe unaombea pep aondoke
. Klopp wewe unamueza kweli the man after pep ni klopp na ni kocha pekee ambae anaweza kubattle nae
 
Arsenal tutakuwa na Center back Bora EPL Mpaka 2027


Daah siku zile nyakati Kama hizi ndo unasikia Cesc Fabregas anatucha anaenda Fc Barcelona

Samir Nasri anaenda zake Manchester City
View attachment 2652896

“ Time will tell” hata hawa wataondoka , nasri cesc wote walichoka kuwa loser na wakatakiwa na timu bora zenye mentality ya ubingwa!! Saka , saliba wasiposhinda chochote miaka 2 ijayo then zikaja timu za maana anasepa tusubiri
 
Rice overprice tu hapo juzi amraabat kamshikisha magoti mara kibao tuu!!! Huyu beiyake inatikiwa kuwa kwenye 50 huko na si hio 100.
Unaona mbali sana, yaan rice ni mchezaji wa kawaida sana sana ni vile uingereza wake anapaishwa.
Ukisikia hizi Kondoo humu zinavyompamba kama hujawahi kumuona akicheza unaweza ukasema ni mchezaji wa sayari nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…