Nakubliana na wewe ila tunatofautiana unaposema tunahitaji mabadiliko makubwa ya kikosi, nadhani tunahitaji ongezeko la wachezaji watatu au wanne (top players) ili kushindana na Manchester city.Arsenal tunahitaji mabadiliko makubwa sana ya kikosi maana depth ndio imetuua lakini kwa upande wa pili tumejitahidi sana kuliko matarajio wakati msimu unaanza.
1. On a positive note tumequalify UCL kitu ambacho hatukufanikiwa kwa miaka mingi Sasa.
2. Kingine tuna momentum kubwa hivyo tutaingia msimu ujao na motisha zaidi Ili tuweze kufanya makubwa.
3. Tuna kikosi Cha vijana kwahiyo inatupa matumaini kwamba mafanikio yatakuja tu maana wachezaji wetu Bado Wana umri na career kubwa huko mbele.
4. Tuna manegement yenye kiu ya mafanikio na ipo tayari kuwekeza dirisha hili kuongeza ubora wa kikosi.
5. Tuna kocha anayejitambua kwahiyo with time atakua better na sio kuporomoka. Alianza vibaya sana msimu uliopita lakini unaweza ona alivyotubadilisha Hadi kuwania kombe na Man City!!
So washabiki wa Arsenal tuwe optimistic na msimu ujao.
Kitu arsenyani mnaweza win msimu huu ni hiki tu[emoji16][emoji16][emoji16]Nakubliana na wewe ila tunatofautiana unaposema tunahitaji mabadiliko makubwa ya kikosi, nadhani tunahitaji ongezeko la wachezaji watatu au wanne (top players) ili kushindana na Manchester city.
Nimekuuliza swali Moja tu kipi ambacho Man City anamzidi Arsenal? Umeshindwa kujibu umeanza kelele tu.[emoji23][emoji23][emoji23]utakufa na stress mwaka huu ,team unayoichukia huwezi ,uwanjan ,kiuchawi ,kipesa ,...
Tafuta pesa huko mtaani maisha yanakuchapa mbwa wewe ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Mambo ya fan base ,fake fans ,sijui man city fan ni watoto sisi hayatuhusu ....
Team umeshindwa kuifunga uwanjan sasa upo unahangaika na fan base [emoji23][emoji23]
Hayo mambo pelekea huko arsenal ,sisi team yetu inatembeza kichapo huko barani ulaya ,na June 10 utaweka makalio yako kwenye kiti kuona tunavochukua UEFA ....
Kuichukia man city huipunguzii chochote chokolaa wewe uko sumbawanga ndani ndani hata mkuu wa mkoa wako hakujui [emoji23]Leo upo unakenua meno et unaichukia team kubwa dunia kama man city
Kalio wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Squad depth ni muhimu sana ila hao nane kwa haraka haraka watano hawakucheza msimu huu.Hiki kitu ndo kilituangusha msimu ulioisha, unatoa wachezaji 8 unaingiza wachezaji 5 maana yake nini sijui. View attachment 2633587
Waliozaliwa 2000s ndio wengi zaidi Tanzania na Duniani kwa Sasa ila Cha ajabu man City Haifikii Arsenal kwa fan base hata kwa nusu. People like clubs with history and identity sio artificial success and sportswashing.Consistency ipi unayoongelea wewe? Watu hawapendi timu eti kisa ni ya zamani hata hao man city pia ni wa zamani. Zamani hawakua katika position nzuri kutokana na uchumi waliokua nao, uchumi wa arsenal ulikua mkubwa kuliko wao now wao wana uchumi mkubwa unalalamika hela za warabu[emoji23], uliipendea arsenal nini mkuu? Huwezi mlazimisha mtu aliyezaliwa 2000 awe arsenal wakati toka amezaliwa hajaona mafanikio yoyote ya washika makopo ( Arsenal) . Just fikiri toka umeanza kushabikia arsenal na huyo dogo wa 2000 nan kaona timu yake ikibeba makombe mengi
Epl man city 7Nimekuuliza swali Moja tu kipi ambacho Man City anamzidi Arsenal? Umeshindwa kujibu umeanza kelele tu.
Nyie plastics tumewazoea mlikua PSG Sasa mmehamia Man City kesho mtaenda Newcastle. But Man City will never have the Status Arsenal has, success is never bought but can only be earned..
Arsenal man historia gani ?Waliozaliwa 2000s ndio wengi zaidi Tanzania na Duniani kwa Sasa ila Cha ajabu man City Haifikii Arsenal kwa fan base hata kwa nusu. People like clubs with history and identity sio artificial success and sportswashing.
Ukubwa wa arsenal uko wapi ?Arsenal is a big big club bhana na dunia inatambua hili,
Wewe nani aliekuambia ukichukua uefa, Ueropa, supercup, na world club cup
Ndio una kuwa mkubwa.!?
Shenzi nyie sijui team zenu zilikua wap kugombania ubingwa?
Sasa shabiki wa mancity leo unateseka na Arsenal serious!???
Huku nikukosa akili,,
muulize babako kuhusu arsenal nae atakujibu
Mnatesekaaaa saaanaa eenheeeeee.
Waliozaliwa 2000s ndio wengi zaidi Tanzania na Duniani kwa Sasa ila Cha ajabu man City Haifikii Arsenal kwa fan base hata kwa nusu. People like clubs with history and identity sio artificial success and sportswashing.
Yaah! sure timu inachukua makombe lakini haiwezi kujaza uwanja, timu haina supporters. can't sell out, low attendance, Man city wana washabiki kweli? ahaaha.Waliozaliwa 2000s ndio wengi zaidi Tanzania na Duniani kwa Sasa ila Cha ajabu man City Haifikii Arsenal kwa fan base hata kwa nusu. People like clubs with history and identity sio artificial success and sportswashing.
Ila inawanyima usingizi ndo ujiulize Sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukubwa wa arsenal uko wapi ?
Mnasema mnahistoria ,arsenal ina historia gani barani ulaya ?
Ni kitu gan mlishafanya ulaya dunia nzima ikasema yes ?
Arsenal ni timu ndogo mnoo ,Toka inaanza imecheza final Moja ya CL ,Haina historia yeyote ulaya ,...
Mara ya mwisho mmegongwa 10 -2 na buyern munich kwenye hio CL mnayokimbilia saizi ,...
Na bado Hao madogo mlionao mwaka kesho mnaenda kunyooshwa magoli ya kutosha huko CL ,..
Labda histori ya mashoga ,maana huko training ground kina lacazete wameacha historia ya kutiana ,kupiga pumbu wanaume wenzao kina viela,....malinda hawana kabisa wale madogo , lacazete sio mtu mzuri [emoji23]
Haya ni makalio yako mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji170][emoji170][emoji170]Yaah! sure timu inachukua makombe lakini haiwezi kujaza uwanja, timu haina supporters. can't sell out, low attendance, Man city wana washabiki kweli? ahaaha.View attachment 2633834
Wamshukuru arteta kuja kuwasaidia team inanuka ushoga , lacazete alikuwa anawapiga pipe wale madogo mpaka huruma ndio maana unawaona kama wala unga wachezaji wa arsenal ....Ila inawanyima usingizi ndo ujiulize Sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba uwanja wa Emirates unazid atmosphere ya bernabeu [emoji23][emoji23]Yaah! sure timu inachukua makombe lakini haiwezi kujaza uwanja, timu haina supporters. can't sell out, low attendance, Man city wana washabiki kweli? ahaaha.View attachment 2633834
Si unaona Sasa, imejaa plastic fans tu yaani watalii na washabiki wafuata upepo tu ila sidhani kama Ina washabiki hata million 1 Dunia nzima.Yaah! sure timu inachukua makombe lakini haiwezi kujaza uwanja, timu haina supporters. can't sell out, low attendance, Man city wana washabiki kweli? ahaaha.View attachment 2633834
Fan base ni Instagram? Una kichaa wewe, hivi followers wa Yanga insta Wana reflect Yanga Ina washabiki wangapi hapa Tanzania? Kwamba katika watu million 60 yanga na Simba Zina washabiki chini ya 10 million?? Be serious.Hizi takwimu unazipata wapi?? Kumbuka kwa miaka kibao kenya arsenal fans wamejinyonga [emoji23][emoji23][emoji23]. Insta arsenal ina followers 26 M na man city 43 hukoo . Usisahau umri wa ushabiki kindakindaki ni miaka 8 - 27 hapa wengi ndo wameeanza kushabikia mpira wengi na wanakua moto zaidii , kipindi hichi as fan nilikua nawajua mpaka wachezaji wa portsmouth na blackburn!! .. huu ndo muda sahihi wa kuwa shabiki haswa kutokana na kutokuwa na mambo mengi! Jiulize madogo wa 2000 wapo wangapi na kati ya hao ni asilimia ndogo sana utakuta wanashabikia arsenal!! Man city ina ma fans wengi wa umri huo kuliko arsenal
Fan base ni Instagram? Una kichaa wewe, hivi followers wa Yanga insta Wana reflect Yanga Ina washabiki wangapi hapa Tanzania? Kwamba katika watu million 60 yanga na Simba Zina washabiki chini ya 10 million?? Be serious.