Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umetoa maelezo mengi. Liva alikaa kwa siku ngapi? Ule msimu wa Gerrard na wa juzi

Mpira umeanza kuangalia lini daah mbona unatia huruma hivi!! Msimu wa gerrad alivyo slip timu ambayo ilikaa top of the table kwa muda mrefu ilikua Arsenal (the specialist in failure) na si Liverpool, Liverpool yeye alichoma mwishoni ila hakukaa muda mrefu on top unaelewa hilo?. . Arsenal msimu huo mpaka January alikua yupo on top lakini akamaliza wa 4 na msimu huo ndo timu iliyokaa kwa muda mrefu zaidi on top
 
Hawa Forest ni ng'ombe wa maziwa. Tunajitahidi sana wasishuke daraja. Sasa kazi kwao sisi tumeshafanya yetu.
 
Kumbuka Mungu sio mwanadamu pamoja na kujidai kama hivi lakini bado wametoka trophilessss


Kama mna jesus na Mohammed na wameshindwa kuwasaidia mwakani mjaribu hata Satan na Lucifer
View attachment 2629980
 
nakumbuka kauli za kebei za white, znchenko Dunia inewashow, waasema ordeguad his better than KDB alivyo kuja trossard ndo kiburi kikazidi mara mkosi ukaingia Jojihno😂😂😂
 
Umetoa maelezo mengi. Liva alikaa kwa siku ngapi? Ule msimu wa Gerrard na wa juzi

Msimu wa juzi alianza chelsea ndo alikua top of the table then akafuata man city , Liverpool alikua behind with 2 games in hand akashinda zote na akawa amebaki na gap la point moja kwa man city aliyeko juu!! Na si kwamba man city ilikua inamkimbiza Liverpool bali Liverpool ilikua inamkimbiza city. Liverpool hakukaa hata kwa siku 20 tu top of the table that season!!! Mashabiki wa arsenal mna matatizo ya akili , unabisha vitu vilivyoko wazi tunaposema arsenal ni bottlers hatubahatishi tumeona kwa macho more than 4 seasons akifanya hivyo.
Nioneshe tu mwaka ambao Liverpool kakaa top of the league kwa muda mrefu then akaukosa kama arsenal
 
Hahahaa kuna kachalii humu kalitoa hoja kwamba wamejitoa FA, Carabao na Europa ili wa-focus kubeba premier league na kakaenda mbali zaidi kusema wao watakuwa wakicheza kila wiki mchezo mmoja ukimlinganisha na City ambaye atacheza michezo miwili kila wiki.
 
Ndio akili za baadhi ya fans wa Arsenal hizi inasikitisha sana
 
So Leicester, Leeds na Everton mbili kati yao wanaweza kushuka daraja.

Timu tatu ambazo misimu miwili nyuma ilikua ukikutana nazo inabidi ujishikilie.
Alf zinawachezaji wazuri. Sana sijui shida ipo wapi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…