Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
Hii City ndiyo wanafiki walikua wanatuchonganisha nayo.
Aliishindwa Ferguson, Wenger, Klopp, Mourinho wanakuja kumsakizia Arteta hata kudeal na pressure hajamaster na kikosi kipo nusu.
Kwa position aliyekua arsenal ingekuwa newcastle,brighton, man utd, hata brentford saivii wangekua wanajiandaa na sherehe za ubingwa lakini uliza arsenal na mashabiki wake saivi sio arteta sio hamis sio aroon wote wameshika tama wako kama vituko hata mbele ya relegated soton[emoji23][emoji23][emoji23]. Wanajiuliza hivi hawa arsenal ndo timu iliyochaguliwa kua kituko cha epl ama[emoji23]