Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapana saliba,ziny, Tomi, Rowe , nelson martineli bado tunawahitaji wanaweza kabisa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Acheni ubairi ingieni sokon wakuu nunueni pia na wanaume wa kazi.. Kikosi cha watoto tupu wacheza Ps hakiwez shindana na wanaume wakiwa wanatk kombe.

Policy yenu ya vijana ni sawa lkn kama mnatk kurud kwny makombe ya maana sajilini watu wa kazi watu ambao wako matured enough to compete na wanaume wenzao sio rojorojo ikifika sehem wanakua weak kisaikolojia.

Na ayo yote mnabid mkubal kutoa hela mwageni pesa.. Jamaa kawaambia hapo mnakuaga na nafas nzr ya kupata players wazr tatz ss mnajikuta wabairi. Hlf mnatk kubeba ubingwa haiwezekan.

Kuna watu humu Walisema wkt Arsenal anaongoza kua mbona hata Leicester alifanya maajab.. Angalieni ile Leicester bad ilikua na watu matured na mentality ya kuweza kuwa push over the line na kubeba ndoo watu hao Arsenal kwa sasa hawapo.
 
Hapana saliba,ziny, Tomi, Rowe , nelson martineli bado tunawahitaji wanaweza kabisa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Sijasema wauzwe ila wanafaa kama squad players na siyo starters. Mchezaji kama Tomiyasu ni liability tu kwa timu, timu inapomhitaji yupo nje kwasababu ya injury.

Nketiah, Elneny, Xhaka, Nelson, Vieira, Tomiyasu, Holding. Fagio liwapitie kuanzia msimu huu.
 
Kumbe unaelewa ni project.. ambayo inachukua muda shida sasa Hamis alisahau hilo kaja kushabikia msimu huu ambao ni matokeo ya project za miaka ya nyuma..... kutwa kushinda kwenye uzi wa Manchester kuponda usajili wa Anthony🙄 wakati ndo kwanza mwaka wa kwanza..... mpaka akawa kero ukawa ushabiki maandazi mshinde mfungwee yeye yumo na nyinyi tuu sasa wacha tumalize hasira zetu na sisi kwake mtuvumilie tuu😂😂😂😂
 
ulichosema ni kwel asiimia mia..
 
Nyie wakimbizi mwacheni Hamis. Sasa mnamuandama ila subirini tuanze kuchapa wapinzani consecutively huku nyie mkipigwa muone atavyo revenge
Hilo ndio tatizo lake, muoga sana, yeye anataka utani wakati ni shabiki wa Arsenal, msimu mmoja unajitahidi misimu 10 maumivu.
 
Tumefungwa na timu ambayo misimu miwili mbele inaweza kushuka daraja. Classic symptoms anafungwa na Nottingham anamfunga nyumbu anafungwa na Everton anamfunga Arsenal.

Tusiposajili msimu huu tutaishia na stori za "Better luck next time"
 
Tumefungwa na timu ambayo misimu miwili mbele inaweza kushuka daraja. Classic symptoms anafungwa na Nottingham anamfunga nyumbu anafungwa na Everton anamfunga Arsenal.

Tusiposajili msimu huu tutaishia na stori za "Better luck next time"
Kwan brighton wana tofauti gani na Azam ya bongo?
Game kubwa zote wanazishika hivi hivi ila muachie game ndogo ndogo uone, ukitaka kuamini waone Next Game.
 
Tumefungwa na timu ambayo misimu miwili mbele inaweza kushuka daraja. Classic symptoms anafungwa na Nottingham anamfunga nyumbu anafungwa na Everton anamfunga Arsenal.

Tusiposajili msimu huu tutaishia na stori za "Better luck next time"
Suruhisho ni usajili kwenye Muhimu kwenye kila nafasi Muhimu zaid, na idadi iwe na wachezaji wanne+ kinyume na hapo ni kilio tena msimu ujao.
 
Shabiki wa kweli hahami timu. Wewe ni glory hunter tu.

For 20 years i have been an arsenal fan .. nan asiyetaka kuona timu yake inakuwa champion ni kiu ya kila shabiki na mchezaji thats why van persie, clichy, sagna na fabregas waliondoka arsenal na bado kuna wachezaji pia wataondola arsenal maana wanapoteza muda arsenal.. glory hunters
so unataka for the rest of my life niwe disappointed man, football ni furaha na burudani la moyo lakini sio simanzii

Trust me mpaka 2028 Newcastle atakuwa kashaonja ladha ya furaha ya ubingwa wa epl lakini arsenal atakuwa bado hana chochote zaidi ya false hope to the fans.
Huwezi sema ni glory hunter nimeanza kushabikia arsenal nikiwa na miaka 8 tu standard one na game ya kwanza tulipoteza nakumbuka its was community shield kama sikoseiii against man utd but still nikaendelea kuwa shabiki wa arsenal. I have that hope for 20 years now nimegundua ilikuwa ni false hope miaka 20 inatosha !!! Arsenal are specialist in failure!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…