Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah! nimeiku The sun hiii ....

ACT FILE:

Name..... Gervinho
Price......11 million
Goals......2
Time........16 minutes

Name......Torres
Price.......50 million
Goals....... 1
Time........6 months

FACTS CONFIRMED

Angalia jamaa wasiione khe khe khe tena hata kule malay anaanguka anguka tu ...... ........ poor Tor The res ..... ..







Safi sana we have got the money, kama wapinzani walifikiria million 20 au 30 ni issue walie tu hatuwezi kuwapa nguvu wapinzani thats the motto ...... ... akitaka kwenda kucheza europe tutamuuza lakini sio kwenye EPL team .... ....
 

Dogo anaandaliwa kuchukua mikoba ya Attacking Midfield pale kusaidiana na Aaron Ramsey...
Natamani wamuuze Fabregas ASAP, Nasri anadengua...kina Adebayor, Alexander Hleb na Bentley wanatamani kurudi!
 

Dogo anaandaliwa kuchukua mikoba ya Attacking Midfield pale kusaidiana na Aaron Ramsey...
Natamani wamuuze Fabregas ASAP, Nasri anadengua...kina Adebayor, Alexander Hleb na Bentley wanatamani kurudi!

Ni vema hawa wakaondoka kwa kweli kuleta utulivu klabuni wakati huu wa maandalizi.
 

Mie naku support boss, hata wale wasemao kuwa tumuuze nasri.
Ila mkuu tutaendelea mpaka lini kuwa feeder club kwa timu zingine?
Mie naona Wenger asimuuze nasri, akae huo mwaka, kumbuka huyu nasri ni msimu uliopita tu ndio tuliona makeke kibao, sasa labda alianza kucheza ivyo ili kutafuta contract ya nguvu au alikua na inaiva.
Akae nasi, hata akiondoka mwaka kesho poa, at the moment sidhani arsenal ni lazima wamuuze, tuka fiinancially very strong.
 

Yale yale boss, lakini naona msimu huu Prof atakua kajifunza, lazima ataletea beki wa kati, striker na labda attacking midfielder.
Mwaka huu inatakiwa tusifanye makosa kabisa.
Aise kuna wenzangu hawajampenda Frimpong, ila namuona kama atakua muhimu kweli msimu huu.
Tuombe asiende on loan wala kuuzwa.
 

lakini kumbuka kijana anataka kuondoka... na mkataba wake ndio unakwisha .. tusimuuza mwakani ataondoka free na tutakuwa tumepoteza £20 Million
 

Mkuu tatizo ni Nasri mwenyewe ndio anataka kuondoka na sipendi kuona mchezaji ambaye hana furaha kuchezea timu yetu anaweza kuwa destruction kwenye timu.

Na kutomuuza wala hatumkomoi yeye wala timu wapinzani, kwani yeye mwenyewe kashasema kama hatutaki kumuuza yuko tayari ku-run contract yake hili aondoke free lakini hato sign mkataba mpya.

Mimi naamini Arsenal ni zaidi ya Nasri na kama anataka kuondoka haondoke tu kama Fabregas manake wanavuruga maandalizi ya timu.

Wakina Wenger risk wanayochokua ni kwamba wanaamini wanaweza kum-convince amwage wino kitu ambacho hakitawezekana kwani Nasri yeye anawaza kitita alichotangaziwa na Man City.
 
Kweli kabisa AW, mie mwenyewe ningependa aondoke, ila tatizo linakuja, hatuwezi kumuuza kwenye asioitaka yeye Nasri na kwa mkataba anaoutaka yeye Nasri, tuko njia panda.
Vile vile hatuwezi kumuuza Man City au Man U wala Cheslski.
Sasa Prof naona kaamua kumuacha kama vile amalize huu mwaka wake, lakini Prof ni mjanja mno, huwezi jua kitakachotokea huko mbele, msimu mrefu, Nasri anaweza kubadili mawazo.
By the way, Fabregas sio wetu, hatutaki tena, naona mpaka Jmosi hii, atakua kaondoka kabisa, na tena tungemsafirisha mpaka uko Barca, mpuuzi kabisa yule.
 


Try to be grateful, Fabregas gave you all he could to win some trophies! It's not his fault Arsenal keep on conceding loads of silly, comical goals, it's your League One defenders and goalkeepers to blame....and, of course the guy who never accept his team's weakness, Prof. Whinger.
 

Kumbuka Fabregas ndiye aliyetoa pasi ya kisigino kwa wenzake wa Barcelona, tena katika eneo la hatari, wakafunga goli lililoimaliza kabisa Arsenal !
 

Haya mkuu kwenye issue ya Nasri tusubiri tuone mwisho wake.
 
Kumbuka Fabregas ndiye aliyetoa pasi ya kisigino kwa wenzake wa Barcelona, tena katika eneo la hatari, wakafunga goli lililoimaliza kabisa Arsenal !


Kwa miaka nane aliyokaa Arsenal amefanya kosa kama hilo mara ngapi, so far nafikiri hiyo ni isolated case katika muda wote aliokaa hapo maktaba ya Imarati na huwezi kusema hilo kosa ndio limesababisha hamjachukua kikombe chochote kwa miaka saba. Ni rahisi sana kumlaumu kwa sasa kwa sababu tu anataka kuhama, lawama zenu zinajengwa na chuki zaidi kuliko facts....Arsenal are sore losers, now you are shamelessly blaming Fabregas for your failure just because he tries to abandon a sinking ship. The irony is, if he chooses to stay, you guys will come up with loads of hypocritical praise for el capitán blah blah blah and BS like that.
 

Sio siri, naona gooners tumevamiwa, huyu bwana sijui hana timu ya kuidiscuss mpaka kateleza kwetu!
Ila ndio demokrasia, wacha aseme yake na apate furaha ya moyo!
Na tungemshauri aangalie matatizo ya timu yake kwanza kabla ya kutueleza/kutunga matatizo ya timu yetu!
Kazi tunayo gunners!
 
[h=1]AC Milan Make Stunning £45m Player Plus Cash Offer for Arsenal Star[/h]Ac Milan have made a £45million offer for Arsenal captain Cesc Fabregas.

Ac Milan have reportedly offered £30m plus player deal in a bid to snatch Cesc Fabregas from under Barcelona’s noses.

Fabregas remained in London last week to work on match fitness following a hamstring problem which also prevented him from heading out on the Asia tour earlier this month.

Barcelona however, are still confident the Gunners will accept the improved offer, with Fabregas set on a move to his boy-hood club.

SOURCE: Daily Star
 

Arsenal made him! he is the one ambaye anatakaiwa awe greatfull & loyal ...! angekuwa barca unafikiri angepata nafasi 1st team kipindi kile ana miaka 16 ???!!!! " yeye mwenyewe alishawahi kuongea hivyo" wenger alimchukuwa wakati barca walikuwa wanamuona ni mtoto tu! akikua ataacha ... acha acheze socer kwa kujifurahisha!
 

Who is more responsible than a captain in the pitch?

[MV MAPENZI II - Mlimani Park Orchestra]

Pooooooooooooooooo,poooooooooooo

EEE bwana unanisikia, ndio nakusikia,Eeh endelea,
tulipokuwa tukisafiri, Tulikutana na dhoruba,
Eeh ,
mawimbi yalikuwa makali sana, Eeh na bahati mbaya
nakusikia endelea.
nahodha alikuwa muoga, akajitosa baharini
kajitosa baharini?
Ndio kajitosa baharini
Lakini mabaharia kwa ushirikiano wao safari inaendelea..

Poooooooooo,poooooooo

Kuchafuka kwa bahari sio mwisho wa safari nasema,
Meli yetu ilipokumbwa na dhoruba,
Nahodha kajitosa baharini eeeeh
 
Kwa kifupi Cesc mwili uko Emirates lakini roho iko Camp Nou,ni vema angeondoka tu,nafasi yake itakamatwa vema na wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…