Hahaaha, ila hapo lazima ataibuka na mmja tu kati ya hao wote.TRANSFERS: Arsenal to spend big on five players [emoji736]
[emoji599]: The Gunners will spend approximately £250m on new players this summer with five lined up.
[emoji1022] Marc Guehi (CB) - £45m
[emoji1022] Declan Rice (CDM) - £100m
[emoji1092] Moises Caicedo (CM) - £80m
[emoji633] Ivan Fresneda (RB) - £25m
[emoji1081] Wilfried Zaha (LW/ST) - Free
Kama kawaida, Arteta anaanza kuwatoa watu mchezoni
Ukiingia kichwa kichwa unapigwa
TRANSFERS: Arsenal to spend big on five players [emoji736]
[emoji599]: The Gunners will spend approximately £250m on new players this summer with five lined up.
[emoji1022] Marc Guehi (CB) - £45m
[emoji1022] Declan Rice (CDM) - £100m
[emoji1092] Moises Caicedo (CM) - £80m
[emoji633] Ivan Fresneda (RB) - £25m
[emoji1081] Wilfried Zaha (LW/ST) - Free
Kama kawaida, Arteta anaanza kuwatoa watu mchezoni
Ukiingia kichwa kichwa unapigwa
sasa kwani nyie cyo waovuMan u tulivyopigwa goal mbili mlituona kama wabovu sana.
Sisi ni wabovu hatukatai lakini tuambieni nu kwanini mmeongoza ligi miezi 4 hafu mmekuja kuachia mwishoni.sasa kwani nyie cyo waovu
Wewe inakuma nini?Sisi ni wabovu hatukatai lakini tuambieni nu kwanini mmeongoza ligi miezi 4 hafu mmekuja kuachia mwishoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa hivi kila fans wa Arsenyau kwenye hili Jukwaa anasingizia kaibiwa simu, yaani utafikiri wezi wa simu siku hizi kabla ya kukuibia wanakuuliza wewe ni shabiki wa timu gani?Duh kweli city sio mtu mzuri kabisa yani leo hii ili jukwaa inapita siku moja watu hawajachangia chochote [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]