Changamoto ambayo hamuioni ni kwamba mist players wanaingia msimu mwingine na fatique kubwa. Kazi vijana waliofanya msimu huu kuwa top of the league kwa 90% ya msimu ni kubwa mno. Nguvu ilitumika sana. Wako exausted. Msimu ujao performance expected to be low labda muwalete alternative players kwa nafasi za kimkakatiUzuri nadhani Arteta huwa anajifunza kutokana na makosa. Last season tulikosa top 4 kijinga kabisa. This season kaipata 2nd place with 3 games to spare ila alipaswa kushinda title. Labda hata yeye, kama sisi na huenda wachezaji wake, alikuwa haamini kinachoendelea...kwamba tupo kileleni na uwezekano wa ubingwa upo.
Mwisho wa siku....self sabotage ya Hali ya juu
Hakuna wa kumzuia City kwa sasa. Kosa kubwa kwa arsenal ni games za So'ton na Liver, zile draw mbili points nne zinazotugharimu ubingwa.Brighton next. Mimi Arsenal ninachoona mkijitajidi sana ni points 90 na City akiteleza sana ni points 90 maana yake wapate draw 2 na win 2.
Kwahiyo GD itaamua. Everton na Chelsea mimi naona hizo ni points 6 kwa City. Brighton na Brentford wanaweza kufanya jambo au wakapigwa wote.
Yes. Kweli kabisaChangamoto ambayo hamuioni ni kwamba mist players wanaingia msimu mwingine na fatique kubwa. Kazi vijana waliofanya msimu huu kuwa top of the league kwa 90% ya msimu ni kubwa mno. Nguvu ilitumika sana. Wako exausted. Msimu ujao performance expected to be low labda muwalete alternative players kwa nafasi za kimkakati
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji16][emoji1][emoji2][emoji3]ya tatu ipi mjomba HassanAsante sana arsenyani Sasa nikakae nafasi ya 3 leo.
Kumbe sometimes mnakuwaga na akili.
Huu ni mwanzo tu, hakuna uchovu hapa, vijana wetu wengi umri mdogo, msimu ujao tunapiga pointi 100, atayemaliza juu ya Arsenal bingwa.Changamoto ambayo hamuioni ni kwamba mist players wanaingia msimu mwingine na fatique kubwa. Kazi vijana waliofanya msimu huu kuwa top of the league kwa 90% ya msimu ni kubwa mno. Nguvu ilitumika sana. Wako exausted. Msimu ujao performance expected to be low labda muwalete alternative players kwa nafasi za kimkakati
Saka kachoka, bado hao wengine wataperform below std. Sio lazima wote wachoke. Key players wakishindwa kudeliver end product nzuri timu nzima inastrugleHuu ni mwanzo tu, hakuna uchovu hapa, vijana wetu wengi umri mdogo, msimu ujao tunapiga pointi 100, atayemaliza juu ya Arsenal bingwa.
Arsenal hatutakuwa na key player msimu ujao, kila mchezaji ni key na atakuwa replaceable vilevile, Saliba & Saka hawakuwa na mbadala quality wise, wanaoelewa mpira wanajua hilo.Saka kachoka, bado hao wengine wataperform below std. Sio lazima wote wachoke. Key players wakishindwa kudeliver end product nzuri timu nzima inastrugle
Saliba kakosekana tu mkaruhusu magoli ya hovyo
Mimi siyo mpuuzi. Lakini nitamchagua Partey siku yoyoteArteta sasa rasmi akili zimemuingia ila ni too late, Wale wapuuzi wa team Partey wako wapi waliokuwa wakirusha matusi humu? Jorginho ni Class
Natafuta uzi wa wana mikeka nikaone laana wanazotupaBHA analoweshwa magoli
Man Utd this season.[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji16][emoji1][emoji2][emoji3]ya tatu ipi mjomba Hassan
Mimi siyo mpuuzi. Lakini nitamchagua Partey siku yoyote
Sawa. Hua najitahidi kujudge mchezaji kwa ninavyomuona siyo kwa ninavyotaka awe.mpaka kufikia kuwa ni mshabiki wa Arsanal basi ni mpuuzi, mupo too emotional na hamuishi kwenye uhalisia. Tatizo lenu kubwa mkipenda mnapenda hasa, hua hata ukweli hamuuoni tena.