Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ok Sasa tujibuni kwanini hamuongozi ligi wakati mlikaa pale juu miezi yote iyo.
 
He is good but he is too conservative in defending. Still anapiga pass vizuri, defensive awareness ni kubwa bado aerial defense ni ishu ila mzuri kwenye ground defense.

Last time against Chelsea I said he is good when compared with Holding. Very composed I believe he is a big asset for the team
 
He is good but he is too conservative in defending. Still anapiga pass vizuri, defensive awareness ni kubwa bado aerial defense ni ishu ila mzuri kwenye ground defense.
Kwenye build up vipi analeta balance?
 
ila arsenal inabidi ipate mchezaji wa eneo la mbele mwenye uwezo wa kucheza mipira ya juu na nguvu
za kupambana na mabeki tough kama wa newcastle.. leo jesus ka struggle mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…