Hatimae leo rasmi tembo ameanguka kwenye lile tawi alilokua imesimamia kwa mguu mmoja.
Sijui tuanze kufukua makaburi ya zile comments zenu mlizokua mnatia ujinga?
Kima nyie mlikua mmeshanunua hadi vijora vya sare kabisa eti vya kusherehekea ubingwa.
View attachment 2605433