Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Team ya laaana hii fans wote wa Arsenal mmechose timu ya laana you will regret every season naaga Jukwaa hili rasmi nisije pata laana mambo yangu ya daily activities yakawa hayaendi naogopa laana BYEEE
Wewe ni NYUMBU nani asiekujua kwani?
 
Leo hamis ndo wangekua wao ndo wana hizi takwimu ungemuona na porojo zake za kwny vijiwe vya kahawa namna wame press na kuwa overload city.. Yan angeleta ngonjera zote.

Arsenal tunawapa funzo namna mpr wa mtu anataka ubingwa unachezwa.. Endeleen kuchukua notes.
Screenshot_20230426_225709.jpg
 
Wazee wa pressing na overloading leo hali imekua mbaya Yaani mpaka kipindi cha kwanza kinaisha hawana shot On Target hata moja wakati City ana 11.
Leo Haaland sijui hata amekula maharage ya wapi maana mpaka dakika 45 alipaswa awe na goli zisizopungua 3.
Screenshot_20230426_225438.jpg
 
Usiwatafutie matatizo watoto wa watu. Pale kwenye benchi kila mtu anajificha nyuma ya kiti wanakwepa kuingizwa.
Wewe unazani tukibaki hivyo si tunakula 5 cha msingi ni kulinda brand ya timu.
 
Safiri salama, sisi tunaipenda kwa mema na mabaya; I know you will be back with different id kuogopa aibu
My ID ni hii hii,ukitaka kuamini Arsenal ni team ya laana angalia kila anachokitaka hakipati,last 2 seasons tuliikosa hata Conference mwishoni, last season tukaikosa Champions league mwishoni,this season tumekosa Ubingwa so why tusiseme Arsenal imelaaniwa na aliyeilaani amedead long time ago
 
Mliua hadi shabiki wenu malkia mambo bado magumu
 
Back
Top Bottom