Saliba MajeruhiSijajua kwanini Arteta anamkumbatia sana Holding, huyu jamaa anatuchoma sana; hili goal la Stones ni poor marking yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu mbona hamuandiki zile takwimu zenu mkuu?? kulikoni?!Breaking news
Arsenal wamekimbia mechi
You believe you can flyI believe
Team ya laaana hii fans wote wa Arsenal mmechose timu ya laana you will regret every season naaga Jukwaa hili rasmi nisije pata laana mambo yangu ya daily activities yakawa hayaendi naogopa laana BYEEE
Wewe ni NYUMBU nani asiekujua kwani?Team ya laaana hii fans wote wa Arsenal mmechose timu ya laana you will regret every season naaga Jukwaa hili rasmi nisije pata laana mambo yangu ya daily activities yakawa hayaendi naogopa laana BYEEE
Wewe unazani tukibaki hivyo si tunakula 5 cha msingi ni kulinda brand ya timu.Usiwatafutie matatizo watoto wa watu. Pale kwenye benchi kila mtu anajificha nyuma ya kiti wanakwepa kuingizwa.
My ID ni hii hii,ukitaka kuamini Arsenal ni team ya laana angalia kila anachokitaka hakipati,last 2 seasons tuliikosa hata Conference mwishoni, last season tukaikosa Champions league mwishoni,this season tumekosa Ubingwa so why tusiseme Arsenal imelaaniwa na aliyeilaani amedead long time agoSafiri salama, sisi tunaipenda kwa mema na mabaya; I know you will be back with different id kuogopa aibu
Nadhani uamuzi wa maana ilikuwa ni white arudi kati then pembeni huko ndo tubet kwa yeyote yule.Saliba Majeruhi
My ID ni hii hii,ukitaka kuamini Arsenal ni team ya laana angalia kila anachokitaka hakipati,last 2 seasons tuliikosa hata Conference mwishoni, last season tukaikosa Champions league mwishoni,this season tumekosa Ubingwa so why tusiseme Arsenal imelaaniwa na aliyeilaani amedead long time ago
Tupe na ya chelseaAser8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowa maji, huku wanatingisha wowowoo na kusema chukua yote yako.