Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chambuzi la dunia
 
Huwezi shabikia timu Kwa kufunga mechi Moja acha uongoo mzee ....

Mim man city nimeishabikia Toka 2010 ,mim nimeishabikia mpira Kwa kuangalia sio kufuata upepo wa watu ...

2005 ulikuwa na miaka 7/8 means ulikuwa upo darasa la pili ,embu nambie mtoto wa darasa la kwanza enzi hizo na kuangalia mpira wa ulaya ,access ya kutazama na kujua kuchambua hili na Lile ....

Narudia Tena mtoto wa darasa la kwanza Kwa miaka ya 2005 kuangalia mpira wa ulaya kiufundi na kiuchambuzi hata kama dsm kulikuwa na access ya kuangalia mpira kirahisi sio kama saizi ,huo ni uongooo ...

Kwa Sasa mtoto wa darasa la kwanza kuangalia mpira wa ulaya it's okay ,maana Kuna access mbali mbali ...

Enzi hizo 2005 na dsm yaani stend ya mkoa Bado iko kule mnazi mmoja


Acha kutufanya sisi wajinga Dogo ,wewe inabidi utuambia ushabiki wako wa arsenal umeanza lini ? ,Na Kwa sababu gani .....
 
Nimeanza kushabikia MANCHESTER United kwa sababu la shoti la Yule half Albino paulo Scholz alilowafunga Barca nusu fainali
Then fainali ya UEFA champions league time ambayo MANCHESTER United anamdundika Chelsea kwenye penati nikahamia Chelsea baada ya kuona ina weusi wengi nilikuwa najua ni watanzania mwaka 2008 hiyo

Then turudi nyuma kidogo nikawa shabiki wa Liverpool time wanapiga comeback ya goli 3 dhidi ya AC-milan iliyokuwa na manguli kama
Dida,cafu,Paulo maldin,jaap stam,nesta
Kaka,pirlo,seedof,Gattuso,crespo na shervshenko

Mwaka 2007 nikawa shabiki wa AC-MILAN mechi ambayo philipo Inzaghi aliwanyanyasa Liverpool saana
 
Halafu 2023 ukahamia Man City baada ya kuchukua treble
 
Ndio maana huna team kila Uzi unafika naandika utumbo
 
Hii mechi yetu dhidi ya City Mikel Arteta angemjaribu Partey kwenye nafasi ya Saliba na pia Jorginho acheze #6. Kuna vitu huwezi kuona thamani yake paka Vikuondoke, wale team Partey nadhani tumeona mchezaji yupi ni ufunguo baada ya Saliba kuumia, quality ya Saliba na holding ni nchi na mbingu.

Timu ina struggle kwenye build up
Timu inakosa control
Timu inakuwa chini muda mwingi, si kwenye key zones ambazo zinafanya tufunge magoli km tulivyozoea.
 
Arsenal
Arsenal team plane bursts into flames on runway.


A plane carrying the Arsenal women’s team burst into flames on a flight back to London after a Champions League match .


Photos show flames shooting from one of the Boeing 737’s engines on the runway at Braunschweig Wolfsburg Airport in Germany.

The 7.30pm flight was due to take off just a few hours after Arsenal secured a 2-2 draw against VfL Wolfsburg in the first leg of the Champions League semi-final.

Witnesses say the plane – reportedly from a Maltese airline – was rocked by a loud bang just before it was about to take off last night.


Horrified pilots saw the blaze and quickly stopped the plane on the tarmac and evacuated the passengers.

An airport spokesman told German newspaper Bild a bird strike had caused the engine fire.

The airport official added that nobody was hurt.

The players and Arsenal staff were put up in a nearby hotel overnight and flown back to London earlier today on a replacement plane.
 

Nope, mechi city haihitaji try and error maybe another match
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ajaribu kwenye mechi muhimu!! Man City wanafungika tatizo lenu mna mchecheto... tulieni bado mnaweza kubeba epl vizuri tu.
 
Kesho Arsenal mkipata hata Draw tu ntaamin mna Nia ya ubingwa walau kdg.. Yan hata Draw tu ntajua kwl ss hawa japo wana Nia msimu huu wafanye kitu.

#TheCityzens
 
Kwamba timu inastruggle kufanya build up kisa Saliba hayupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…