Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I am watching BHA vs ManU, had we had Caicedo in the squad, we would’ve won titles this season

Si kweli, tatizo la arsenal kupoteza points 6 si kwasababu ya our midfielders. Tatizo la arsenal after this 3 games ni mentality! Haya ya caicedo nikutafuta sababu tu
 
Ishu ni hii ratiba ya arsenyani hatukatai city kupoteza ila inawekuwa arsenyani wakapoteza zaidi.View attachment 2597157
Nasikia Saliba msimu kwake umeisha, atasubiri msimu ujao
Poleni sana majirani, hii ndio kandanda, hata hivyo nafasi ya pili mmejitahidi sana. Kama mliandaa sherehe muendelee na huo mpango msiache kurusha fataki na kutost champagne
Kazi iliyofanyika ni kubwa sana
 
Hivi nzi huwa wanafuata nini vile?
 
Cry more
 
Kipindi hicho ulikuwa hujaanza kushabikia mpira uwongo!!
2015 nakumbuka nilikuwa form 5 ,tunacheki UEFA kipindi hicho nakumbuka man city tulikuwa tunaishia round ya 16 ,Barcelona katutoa ....

Joe hart ni bonge la shot stopper kipindi Hiko ...

Frank lampard alikuwa ze cityzen ....

hakukuwa na namna yeyote ya shabikia wa arsenal kuwepo
..

Kiufupi mashabiki wa arsenal ni wa enzi za kina Henry ,2003 huko ,ambapo sisi tulikuwa Bado hatujaanza hata la kwanza ....

Ndio maana mpaka Sasa mtaani huwezi Kuta shabiki wa arsenal kijana ....
 
πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
 
Oya killer unahangaika na hivi vizee humu unajichosha tu.

Wameona katimu kao hakana upepo wa kushindana na city uwanjani kwaiyo walichobakiza ni kuanza kutunanga tu mafans wa city, mtu akishafikia stage hiyo jua anapitia wakati mgumu sana kisoka

Acha wakafie mbele.
 
Sasa Mimi na wewe nani kijana?, 2015 me nipo 4m3, wewe umeanza kushabikia mpira lini??
2015 upo form three , Sasa form three na 5 utofauti si miaka 2
,wewe ni rika letu ,,,Kwa haraka haraka Kwa miaka hio mtu akiwa form three means ulikuwa na miaka 17/18 means umezaliwa mwaka 1997/1998 .....

Sasa Kwa mtoto ambaye kazaliwa mwaka 1998 huwezi kushabikia arsenal ,wewe utakuwa imeanza kuangalia football mwaka 2010 unamiaka 12 ,kutokana na poor technololgy mwaka 2000-2007 ulikuwa Dogo mna huwezi cheki mpira,access ilikuwa poor ,hata vijijin umeme ulikuwa Kwa manati ,mpira mingi ilikuwa ya usiku na ni wakubwa tu walikuwa wanacheki wewe mtoto ni either movie au ukalale ,tofauti na Leo hata mtoto wa miaka 5 anamjua mayele ,na ndio Hawa viraka wa arsenal unao waona walipokuwa wanashabikia arsenal 1998-2003 ndio fans wa arsenal wamerise ...

Mim nimeanza mpira kuangalia 2010 namaliza la Saba,maana nilikuwa mtu wa movie home ,na ndio ulikuwa umri wa mtu kuweza kuangalia mpira Kwa uhuru ,means home hawakugasi Tena ,unakuwa na access ya kurudi home hata usiku maana sio mtoto Tena ...

Sasa wewe mtoto wa 98 unashabikia arsenal Kwa sababu ipi hasa maana Toka unazaliwa na hapa ulipo hakuna sababu ya kuishabikia arsenal,means miaka yote ya kuangalia mpira hujawahi kutana na arsenal inayojitambua ,labda kama umefuata upepo ,bandela fata upepo ...maana Kwa mtu ambaye anashabikia mpira Kwa kuangalia ,Kwa miaka yako huwezi shabikia arsenal ,labda Chelsea ,man UTD au man city .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…