Sisi ndio tunasema, sio lazima shabiki wa Arsenyeto asemeSijakutana na shabiki wa Arsenal aliyesema Saliba kuumia ndiyo sababu.
Tumefungwa magoli 9. Sisi tumefunga mangapi?
Katika majeruhi wenu wangapi ni starters?
Kiukweli mmejitahidi msishuke daraja hata hivyo isingekua mara ya kwanza nyinyi kushuka daraja
Kwa msimu huu chochote tutakachopata nje ya kombe ni underachievement.Great run but second position is still the best hahahaha
Hii show haikuhusu nigga. Kama wahusika hatujaongea kitu ingia jikoni uoshe vyomboSisi ndio tunasema, sio lazima shabiki wa Arsenyeto aseme
Mwaka wa 10 huu United hajabeba ligi lakini wote wameshindwa kumkamata.Makombe ya EPL tangu ligi ianzishwe 1992
- Man U = 13
- Man city = 6
- Chelsea = 5
- Arsenal = 3
- Liverpool = 1
Kwa msimu huu chochote tutakachopata nje ya kombe ni underachievement.
Kuna mwaka utafika na hii run itatumika kumjudge Arteta
Baada ya mechi na City utarudi hapa kusema wachezaji wa Ass'anal wakiongozwa na kocha wao hawana marinda.We still have the chance to emerge EPL title winner if we beat City and manage to win the remaining matches. This is possible, Ramsdale needs counseling, his recent blunders are discouraging his teammates and tarnishing his image to Southgate and the fans.
Babu Fergie alikuwa na team yake pale FA.Mwaka wa 10 huu United hajabeba ligi lakini wote wameshindwa kumkamata.
Msimu haujaisha kaka,ebu tungoje jumatanoUnaona kejeli zako zinajaza wapinzani humu Jukwani?nilikuwa nakuonya usiweke ushabiki chambua football️ na facts ona sasa leo Jukwaa linajazwa na wapinzani bila sababu ya msingi hamis77 ,wakati naonya ilikuwa naonekana mpinzani ,sometimes niliitwa ARV milangomitatu na wanaojiita die hard fans haya sasa pamenuka umekimbia ,tulichoambulia ni kuwa champions league but hayo ni mafanikio kwa big team kama Arsenal ambayo season nzima ilikuwa 1st position kwenye league?Acha tuendelee kupokea matusi
Kuna mmoja nimetoka kubishana naye sio mda mrefu hapa, eti hata kina Robinho, Micah Richard hawajui
Ishu ni hii ratiba ya arsenyani hatukatai city kupoteza ila inawekuwa arsenyani wakapoteza zaidi.hata city atapoteza point issue tu ni kwamba atapotezea wapi ?
In my honest opinion the best game plan could have been to win against hammers and soton. To either draw or win against liva.We still have the chance to emerge EPL title winner if we beat City and manage to win the remaining matches. This is possible, Ramsdale needs counseling, his recent blunders are discouraging his teammates and tarnishing his image to Southgate and the fans.