Arsenal (The Gunners) | Special Thread



Hongereni wakuu, kwa hiyo mnaingia sokoni kununua wachezaji 60 sasa....hahahahaha!
 
Mkuu huchukui ubingwa kwa kuifunga Chelsea, Man U, Liverpool na Spurs au Man Citehpekee yake bali kwa kuzifunga the likes of Bolton, Fulham etc etc.. Nyie kawaida yenu uwa mnaanza kuchoke up ikifika mwisho wa February early March.
 

JF imeingiliwa na mapopo.
 
Reactions: Mbu
Umetokea wapi?
 
Arsene wenger mbona kimyaaaaa!! huyu babu ananiweka nervous kujuwa kifaa gani atashusha msimu huu ... maana msimu huu ujao ni wetu! watake wasitake
 
Nimependa hii barua ya wazi huyu bwana kampelekea chameni wetu Hill-Wood, aliyoyaeleza mengi yana ukweli, ni wakati wa kuelezana kama ilivyo sasa black and white!
Hawa bodi wanatuzingua, tokea aondoke Dein waliobaki hakuna mwenye mapenzi kilabu wapo pale kimaslahi zaidi.



Source:
Just Arsenal News | An open letter to Peter Hill-Wood from a lifelong season ticket holder
 
Replacement ya Nasri hiyo.

Nasri bado hajatia wino kule MANU anataka kuongezwa dau tu na AW kishaonyesha yuko tayari kumuongezea dau sasa kama SAF akiamua kulipandia hapo ndipo itakuwa kazi.
 
mambo yote ni july 1st wakati international transfer window ikiwa open, wenger anatarajia kumtangaza Alvarez na Gervinho lakini kama kawaida yake huyu mzee keshakuwa vitoto 3 mpaka sasa Jon Toral, Hector Bellerin (Both Barcelona, undisclosed Deal ), Carl Jenkinson (Charlton, undisclosed deal) kuna tetesi atamchukuwa cahil na samba pamoja! kama ni kweli inabidi baadhi ya wachezaji kule nyuma waondoke emarates

P.S - MAN UTD Mlie tu! Nasri haendi popote!


 
Nasri kaongeza mkataba?
 
Fabregas akiondoka Nasri naye atataka kuondoka, sie tumebakisha signing moja tu either Modric au Sneijder.
 

Nimeona Mr Bean ameamua kumjibu jamaa


Arsene Wenger pens heartfelt letter to unhappy Arsenal supporter | The Sun |Sport|Football
 
Barcelona huwa wanawaachia wachezaji kirahisi lakini wakiamua kuwarudisha wanawarudisha ,inanikumbusha walivyomwachia Gerrard Pique ,nimeona na sasa wanataka kumuachia dogo mwingine Tiago Alacantara ambaye sidhani kama kuna kocha angekubali kumuachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…