Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Daahhh Carrasco umeanzisha msako wa nyumba kwa nyumba kuzitafuta hizi kima zilipo jificha?
Tunakuomba kila unapoziona kwenye majukwaa mengine zikamate kisha uzilete humu zijibu shutuma zinazo wakabili.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [mention]HENRY14 [/mention] namuona jukwaa la mapishi arsexual imeshamvuruga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [mention]HENRY14 [/mention] namuona jukwaa la mapishi arsexual imeshamvuruga
@HENRY14 mtu wa Mungu hana baya na mtu, kuna zile pimbi zinazokuja kwenye majukwaa ya wanaume na kuanza kutukana hovyo kisa Arsenyau anaongoza ligi.
 
Nasikia kuna vyura vimevamia huu uzi.
Sio kuvamia, kwa zile nyodo na shombo zenu wananchi wenye hasira kali walikua wanawavutia muda tu wakisubiria siku mtakayo jikwaa.
Baada ya kima kulitelekeza jukwaa lao Masela wakaamua kuanza kulipiga mtungo bila ya huruma, yaani ni mwendo wa chomeka chomoa mpaka jukwaa limeanza kunukia harufu ya mishkaki.

Hii style aliyokaa hapo kipa wenu baada ya kuwekwa inaitwa Reverse Cowgirl[emoji116][emoji116][emoji116]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…