Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,108
- 3,191
Timu yoyote ile ingekua position tuliopo sisi ingechukua ubingwa hata Nottingham forest . You are top of the table , unacheza na liverpool mbovu ndani ya dk30 unaongozaa 2 :0 , unacheza na westham inayopambana kutoshuka daraja ndani ya dk 15 unaongoza 2:0 na cha msingi zaidii unataka kuwa bingwa confidence ipo ya kutosha maana tayari unaongoza na upo on the top of the table , umepumzika vya kutosha maana upo only kwenye epl unacheza sunday to sunday ila wapinzani wako walikua na gemu katikati ya week. Hata mungu mwenyewe anashangaa hawa arsenal niwape nini sasa maana favorable conditions zote zipo kwetu lakini at the end tumechoma game zote 2.
Inanikumbusha 2016 welbeck anafunga goli la kichwa dk ya mwisho kabisa vs Leicester tunarudiii kwenye title race na hope kubwa kilichofuata kilikuwa kituko game inayofuata ikawa j5 tukapigwa na swansea rasmi ndoto za ubingwa zikazikwa !! The arsenal way!!
The arsenal way will always be a false hope!!! Maana technically mpaka saivii man city wapo 2 points ahead of us!!
ITS ALL OVER FANS INABIDI TUKUBALIIIII. ITS OVER