Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hamisi77 kashazimia baada ya matokeo ya Arsepimbi 2 Vs 2 Westharm United.

Malcom XXX kashalazwa Muhimbili.

Willy Jr kajipiga ban mpaka kifo.

Asepimbi hana kikosi kipana kama Yanga FC.

Mwa-City wanaubeba ubingwa wa EPL mara ya 3 mfululizo 2023.
 
Daaah. Tukijikwaa kidogo humu hatupumziki. Ni kusagiwa kunguni mwanzo mwisho na kina Allypipi na kina flano. Acha nasi tusubiri na wao wapigwe tukeshe kwao 😄😄
 
Peter drury on arsenal win.

"hamis77 has led the arsenyau side in 7-2 demolition of west ham, what an arsenyanic perfomance"
 
Sasahivi wanaume wanawaacha mtangulie halafu mnatandikwa ka mbwa koko, hiyo ndiyo pattern saivi maana wanajua hamna beki pale.

Na pale etihad tutawaacha muongoze 3 halafu tunawasokomeza kuni nne ndefu.

Poor arsenyau
 
Ila mpira jamani! Eti mataahira wa Man U nao wanaona wako kwenye ushindani wa kombe? Aibu kabisa! Ubingwa ni wa Man City mtake msitake!
 
Chelsea na ubovu wake wote atakuacha umfunge kimoja halafu dakika za mwisho nae anakusokomeza kimoja.
Maana hata kulinda magoli hamjui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…