Tutakachomfanya West Ham United Kwenye Hii Mechi Ya Leo,Nina Hakika Kitabaki Kweny Vitabu Vya Matukio Ya Kikatili Zaidi Kuwahi Kutokea Kwenye Soka..!
#COYG
Naanza kuamini Zinny ni mtu muhimu sana kwenye team yetu. Hua anampa sana support Partey na kuonekana bora. Anways game on, mapambano yaendelee tutakutana baada ya game 38. Overrr
Arsenal alitolewa Carabao cup ikaja excuse kombe halina impact, tukatolewa FA cup ikaja excuse tumelibeba sana,tukatolewa Europa ikaja excuse ya kuwa tunajipanga na Premier league trophy
, now tumepoteza focus sijui excuse itakuwa ni nini, I don't know
Huku Kipara yupo Champions league, FA na Premier league yake wala haringi anabutua tu watu goal 3 na kuendelea huku sisi ambao tupo na Premier league pekee tunabomolewa na wapinzani