Hakuna link nzuri kwenye wing ya kulia kati ya saka na ben white,
Partey nikama hana muunganiko mzuri leo na ode au shaka
Pengo la zin linaonekana leo hasa kwenye kutuliza timu ila nna mashaka kama defensively asingetuchoma maana wapuuzi wana movement za hatar