Nyie mlienda Anfield hamkupaki bus kilichowakuta mnakijuaArsenyau kuna muda unawaonea huruma.
Kwa man city na man u Walidominate possession ila wakafa tatu tatu kila upande.
Kwa liva wakasema OK tupaki bus ila bado goli 2 zikaingia.
Wakifunguka wanapigika, wakipaki bus wanapigika, poor arsenyanis.
Brighton ndio timu bora kwenye build up EPL na DUNIANI kudadeki
Yule de zerbi aisee mi shabiki yake kitambo
Jana ziligawia pipi pale kati
Pumbavu sana wale watoto yule hawez kuendelea kufundisha Brighton wakati kuna wajinga wanafundisha timu kubwa kama TEN HAG na Lampard
Sasa pale walimkosa beki yao Levi colwill (loan kutoka Chelsea) kudadeki Chelsea wanabeki pale(Arteta alimtaka toka yupo academy Chelsea ,now mancty na Liverpool wanamtaka dirisha kubwa)
Kazi wanayo manake wanabadiashili
Nilikuwa doubt na caicedo ktk build up kumbe ameimprove sana Ukiachana na arsenal na City sasa hivi
Watafute Brighton uburudike Yule lewis dunk Southgate hamuitagi
Halafu anaitwa magwaya mara guehi
Westham watakufa magoli sio chini ya manne wakiwa nyumbani kwaoTutakachomfanya West Ham United Kwenye Hii Mechi Ya Leo,Nina Hakika Kitabaki Kweny Vitabu Vya Matukio Ya Kikatili Zaidi Kuwahi Kutokea Kwenye Soka..!
#COYG
Ngoja tutunze hii.Tutakachomfanya West Ham United Kwenye Hii Mechi Ya Leo,Nina Hakika Kitabaki Kweny Vitabu Vya Matukio Ya Kikatili Zaidi Kuwahi Kutokea Kwenye Soka..!
#COYG
Huu mwenge hautaruka kijijiMy remaining fixture prediction
Arsenal 4-1 Westham
Arsenal 4-0 Southampton
Arsenal 2-2 Man City
Arsenal 3-0 Chelsea
Arsenal 2- 1 Newcastle
Arsenal 2-1 Brighton
Arsenal 3- 0 N.Forest
Arsenal 4-0 Wolves
They have their own records and we have oursOnly 3 clubs have won the Fifa Club World Cup in England.
1.Chelsea.
2.Liverpool.
3.Manchester United.
Only 5 clubs have won the Uefa Champions League in England.
1.Liverpool.
2.Manchester United.
3.Chelsea.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
Only 5 clubs have won the Uefa Europa League in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Tottenham Hostpur.
4.Manchester United.
5.Ipswitch Town.
Only 5 clubs have won the Uefa Super Cup in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Manchester United.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
.
.
.
.
If you are looking for small clubs like Manchester City and Arsenal on this list, I am m sorry you can't find themπππ.
Only one club in England has a golden premier League trophyOnly 3 clubs have won the Fifa Club World Cup in England.
1.Chelsea.
2.Liverpool.
3.Manchester United.
Only 5 clubs have won the Uefa Champions League in England.
1.Liverpool.
2.Manchester United.
3.Chelsea.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
Only 5 clubs have won the Uefa Europa League in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Tottenham Hostpur.
4.Manchester United.
5.Ipswitch Town.
Only 5 clubs have won the Uefa Super Cup in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Manchester United.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
.
.
.
.
If you are looking for small clubs like Manchester City and Arsenal on this list, I am m sorry you can't find them.
Waukose Mara ngapi sasa, hii timu ni mwendo wa trophyless watazidiwa mpaka na nyumbu wamebeba carabao.Arsenal wakikosa ubingwa watapigana sana πππ
Unaota mkuuu amka ni asubuhi tiyari πππππNjia Pekee Ya Manchester City Kuchukua Kombe La EPL Ni Kuliiba, Ukweli Usemwe
In your dreamsMy remaining fixture prediction
π
Arsenal 4-1 Westham
Arsenal 4-0 Southampton
Arsenal 2-2 Man City
Arsenal 3-0 Chelsea
Arsenal 2- 1 Newcastle
Arsenal 2-1 Brighton
Arsenal 3- 0 N.Forest
Arsenal 4-0 Wolves
Emirates Kilichotukuta ni kipi? Kuzidiwa possession? Point 3 zikaenda wapi?Nyie mlienda Anfield hamkupaki bus kilichowakuta mnakijua
Mkaja Emirates mkapaki Basi kuanzia dakika ya 70 mpaka 92 kilichowakuta mnakijua
Mungu labda ni wao peke Yao!In your dreams
Saka anasema mechi ya city haitakua final ila ni semi-finalUshindi wa leo siyo wa ubingwa
Ushindi wa leo ni kujihakikishia UEFA tu. Ushindi kwa ajili ya ubingwa bado.
Leo tukishinda spurs na brighton hawatoweza tena kututoa nafasi ya nne. Assuming tumepoteza mechi zote zilizobaki na wao wameshinda zote zilizobaki.
So leo ni kwaajili ya UEFA. Ikifika muda wa ubingwa nitawaambia