Wewe Baki na litimu lako chelkengeNasema hivi, City anashinda mechi zote zilizobakia kwenye EPL na UCL
Mimi wewe huwa sikujibu kabisa ,kwahiyo usishangae ninapokupotezeaMtu kama huyu anamuweka villa top kisa kamfunga Newcastleachana na mpira wewe kashabikie mieleka ..
Hujui mpira mzee ,Aston villa unamuweka top 4,?Mimi wewe huwa sikujibu kabisa ,kwahiyo usishangae ninapokupotezea
Ulitaka nisimuweke wakati ana points 50 ,points 6 dhidi ya aliyepo top 4Hujui mpira mzee ,Aston villa unamuweka top 4,?
Weka kumbukumbu vzr ,
Tumepigwa sana bc tutakuwa nafasi ya 17 na hatuwezi kushuka daraja 😂Wewe Baki na litimu lako chelkenge
Upo points 6 na kushuka daraja
Wahuni wakikaza vzr ,mechi ya mwisho mnapelekwa Championship kucheza na kina Waycombe wanderas
Leicester kiande ,ligi inaanza hapa Kama mnakumbuka walipomuuza GK Schmichael , nilisema watashuka daraja
Pia Soton walipomuuza Forster ,na kwenda kununua watoto wa mancity ,
Kama mlikuwa makini ligi inaanza Arsenal toka pre season alionekana atagombea ubingwa
Leicester ,Soton watashuka daraja
Liverpool sababu ya age ya kikos alikuwa na 50/50 kugombea ubingwa
Chelsea alionesha atapitia Hali ngumu
Upo sahihi kbsa mkuuLeicester kiande ,ligi inaanza hapa Kama mnakumbuka walipomuuza GK Schmichael , nilisema watashuka daraja
Pia Soton walipomuuza Forster ,na kwenda kununua watoto wa mancity ,
Kama mlikuwa makini ligi inaanza Arsenal toka pre season alionekana atagombea ubingwa
Leicester ,Soton watashuka daraja
Liverpool sababu ya age ya kikos alikuwa na 50/50 kugombea ubingwa
Chelsea alionesha atapitia Hali ngumu
Unajiamini sana mzeeHii show mtuachie sie tuliyeamini toka pre season Arsenal anagombea ubingwa
Ila majority wakasema manjesta ndio taito contender
Kwahiyo hata Sasa tunahubiri ,City anaenda kufa kwake mapema Sana akikaza draw
Liverpool ndio mechi ngumu iliyokuwa imebaki
Kwasasa subiria WIN 7 mfululizo
Wana miaka zaidi ya 8 hawa Kima bila ya kuingia kwenye top 4, so hata wakimaliza ligi kwenye nafasi ya 4 bado watajiona msimu huu wamefanya wondersKweli kabisa mkuu, nafasi ya pili ni maajabu kwenu
Nyumbu toka mlambwe 7-0 mmekuwa Kama wehuMkuu haina haja kutukana, hawa Arsenyani watani zetu, hivyo twende nao tu mdogomdogo mpaka ligi inaisha halafu kombe anakabidhiwa City tuwaulize kiko wapi wanachotutambia?
*Mara yao ya mwisho kuchukua Epl ni mwaka 2003, miaka zaidi ya 20 wamekua ni wasindikizaji.
*Wana miaka zaidi ya 8 hawajawahi kuingia kwenye top4 ya Epl, yaani wana miaka zaidi ya 8 hawajashiriki Uefa.
*Tokea dunia kuumbwa hadi hii leo hawajawahi kubeba Uefa Cup .
*Tokea Adamu anateremshwa mbinguni hadi leo hii hawa wahuni hawajawahi hata kushika tu Europa Cup.
Hizi kima zenyewe zinajijua kabisa kua timu yao ni miongoni mwa zile mid table teams kwenye Epl so zinatumia nguvu nyingi kuCompete na giant teams kama vile Man Utd ili nao walau waonekane. View attachment 2589174View attachment 2589176View attachment 2589178
Hata kabla ya kwenda Anfield mlijipa moyo hivihivi, tena mkatoa onyo kabisa kua Liverpool wasithubutu kutaka kupishana na nyinyi, maana kwa hio Liver mbovu mtawafanyia kitu ambayo haijawahi kufanyika tokea kuanza kwa EplHuyu city aliyecheza Kama manjesta pale emirate
Tutamfanya hamna hapo kwake
Uzuri kimahesabu tunahitaji draw 2 tu ,Moja against yeye city
Nyingine na kiande yeyote
Uwezo tunao Nia tunayo
Kiukweli mechi vs Liverpool ndio mechi ngumu iliyokuwa inatuumiza kichwa
Hawa wengine Wana mpira gani wakutushambulia Sana
Mtu anakaa kabisa anasema mna mech ngumu na Newcastle, Chelsea ,
Tuliamua kuwaachia tu ili tulinde goli, si unaona mwanzo tulivyopishana walipotea fasta.Hata kabla ya kwenda Anfield mlijipa moyo hivihivi, tena mkatoa onyo kabisa kua Liverpool wasithubutu kutaka kupishana na nyinyi, maana kwa hio Liver mbovu mtawafanyia kitu ambayo haijawahi kufanyika tokea kuanza kwa Epl
Baada ya kufika Anfield sasa wazee wa pressing wakapressiwa wao mpaka wajikuta wenyewe wamepaki buss
Na ndo tutaenda ivyo hadi msimu huu uisheTuliamua kuwaachia tu ili tulinde goli, si unaona mwanzo tulivyopishana walipotea fasta.
Arteta on second half:
We relied on big defensive moments where Aaron took a big part and they missed the penalty. We missed that ruthlessness to take the game. It’s probably a fair result. The big lesson is play the way we did in the first half.
THE BIG LESSON IS TO PLAY THE WAY WE DID IN THE FIRST HALF.