verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,173
- 6,312
Last time tulipoteza kwa city tukaenda na ushindi wa mechi saba mfululizoWatu mnataka ushindi na mnakaa mnaridhika!
Mwenzenu Kipara hana utani mjue[emoji16]
Uzembe kama wenu ndo ulotucost mwaka jana tukashindwa kubeba hii ndoo.
Kichwa cha bhangi iko mda wote kimejaa MoshiKametumbua tumbo badala kapambanie mechi
Dah[emoji1787]
Kumfunga City nyumbani kwake siyo rahisi kihivyoLast time tulipoteza kwa city tukaenda na ushindi wa mechi saba mfululizo
Tumedrop points leo wachezaji watareact kwa ushindi mfululizo wa coming games
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa cha bhangi iko mda wote kimejaa Moshi
Nenda kaangalie fixtures za April mkuu, zinafikirisha sana.Last time tulipoteza kwa city tukaenda na ushindi wa mechi saba mfululizo
Tumedrop points leo wachezaji watareact kwa ushindi mfululizo wa coming games
Kwanj tumefungwa?😂😂😂Mbona unajipa furaha haipo.Wazee wa ku-overload moto 🔥 wa leo hamuwezi kuusahau
Hadi sisi mmeshindwa kutufunga?Nilisema April fixtures are very tricky, very tricky...Newcastle is another hurdle yani.
Hatutafsiri mpira namna hiyo mkuu, kwamba kwa vile ulifungwa nne na City, tukatoa sare na nyie basi City atatufunga...Hadi sisi mmeshindwa kutufunga?
Tulivyo wabovu!
Aisee
Mungu awape Nini[emoji1787]
Mkienda huko City moto wake si wa nchi hii.
Wewe ngoja tutawashangaza save hii commentKumfunga City nyumbani kwake siyo rahisi kihivyo
Unajua hii sio logical kabisa, kwani city alipata alama ngapi Anfield?Hadi sisi mmeshindwa kutufunga?
Tulivyo wabovu!
Aisee
Mungu awape Nini[emoji1787]
Mkienda huko City moto wake si wa nchi hii.
Msimu uliopita tukiwa kwenye peak, tulizembea hivhiviHatutafsiri mpira namna hiyo mkuu, kwamba kwa vile ulifungwa nne na City, tukatoa sare na nyie basi City atatufunga...
Mimi tangu mapema leo niliwaunga mkono mtufungeWewe ngoja tutawashangaza save hii comment
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ubingwa unahitaji roho ngumu sana
Usione wachezaji wa liva wamechoka vile muelewe Sasa sio Kila siku kusema Trent kachoka fakeni fakeni ooh sijui Salah mbovu
Kubebwa ubingwa ni kazi nyie Unahitaji roho ngumu na chafu Tena chafu mno